Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
π€£π€£π€£π€£ Eti the coolest estate in Afrika π€£π€£π€£ Unataka tupost coolest estates in Afrika au.? Kama mnaweza toboa hata top ten.. eti number 28 in the world π€£π€£π€£π€£π€£ Unazungumzia dunia ipi kwanza.? Mbona mnapenda kujipaisha mzee.?Hizi sehemu za Nairobi with tree coverage zinaonekana third world country?
View attachment 2396234
View attachment 2396243
View attachment 2396246
Na usisahau Kilimani, the coolest estate in Africa kisha number 28 duniani.., zaidi ya nchi mingi developed.., sisi sio wenzenu wivu isikufanye ujisahau..,
View attachment 2396247
Unapendaga kujifurahisha sana weweUmbali upi?.., yaani am seeing how vast developed Nairobi is.., zoom closer kiasi same level kama hii ya Dar tuone tofauti Kilaza? wala usiogope, hautapigwa uki zoom closer zitoshane na hii yenu.., π π π π π π π π π
View attachment 2396331
Tunaomba picha yako ukipita juu au chini na uweke uthibitisho, nina wasi wasi na life yako.Natumia zote.., infact kwa sasa tangu ifunguliwe hakuna jam chini, Nairobi sio Dar kilaza, kama niko na haraka, nakimbizana na wakati napita juu kama naenda zangu nyumbani jioni napita chini.., hakuna sehemu utapata foleni..., traffic is always moving unless kuna ajali...,
Aiseee! Kwa kweli hapa tulipofikia ni pabaya sana.Hivi ndio viwanja vinatanganzwa kuuzwa unajiuliza kwa bei hii vinapatikanaje?Kibamba,kwembe,king'azi,kuna jamaa wananunua 20-20 kwa m 4 au 5,iko kiwanja wanakikata mara 4 then wanauza kwa m 1.5 hadi 2,anapata cha juu,king'azi malamba mawili ndio biashara hiyo ya wajinga
Sio sisi tumejiweka pale kilaza, usitukasirikie bure tafadhali ni dunia imeitambua Kilimani, sisi tulishtukia tu Kenya imetajwa, ni Nairobi ilivyo, zoea dogo sio makosa yetuππππππππ, na pia South Africa Cape Town's Sea Point estate, number 38 duniani, 2 in Africa, Kilimani number 1, ila imewauma sana mnaopenda kujitoa ufahamu, yaani kujitia hamnazo hamjambo, ila ukweli mnaujua ni wivu tu na kinyongo imewashika, unatamani ingekue ni Oyster bay imetajwa, zoeaπ π π π π π π π π π π π π ππ€£π€£π€£π€£ Eti the coolest estate in Afrika π€£π€£π€£ Unataka tupost coolest estates in Afrika au.? Kama mnaweza toboa hata top ten.. eti number 28 in the world π€£π€£π€£π€£π€£ Unazungumzia dunia ipi kwanza.? Mbona mnapenda kujipaisha mzee.?
π€£π€£π€£π€£ Mzee dunia unaijua wewe .? π€£π€£π€£.. likija suala la makazi bora na mazuri, hakuna mji wowote Afrika unaweza ingiza pua hata top 100 .. tuliza tako, hizo takataka hata mimi naweza andika. Hii kilimalimani kitu naeza kuona mostly ni vumbi na ugongo mwekundu together with cheap buildings.. kuwa na heshima na dunia kijana .. usitake tupost humu mipicha mingi humuSio sisi tumejiweka pale kilaza, usitukasirikie bure tafadhali ni dunia imeitambua Kilimani, sisi tulishtukia tu Kenya imetajwa, ni Nairobi ilivyo, zoea dogo sio makosa yetuππππππππ, na pia South Africa Cape Town's Sea Point estate, ila imewauma sana mnaopenda kujitoa ufahamu, yaani kujitia hamnazo hamjambo, ila ukweli mnaujua ni wivu tu na kinyongo imewashika, unatamani ingekue ni Oyster bay imetajwa, zoeaπ π π π π π π π π π π π π π
View attachment 2396555
View attachment 2396559
Sio lazima uniamini mchawi.., si hitaji kukudhibitishia lolote bana, I am what I am nothing changes, your opinion is yours to keep.Tunaomba picha yako ukipita juu au chini na uweke uthibitisho, nina wasi wasi na life yako.
Umeumia, je ingekua ni Oyster Bay?.., jinyonge nenda ukalilie pia na Sea Point Estate kule Cape Town South Africa, mimi sitakusaidia., jinyonge ukitaka π π π π π π π π π π π π π π π π ππ€£π€£π€£π€£ Mzee dunia unaijua wewe .? π€£π€£π€£.. likija suala la makazi bora na mazuri, hakuna mji wowote Afrika unaweza ingiza pua hata top 100 .. tuliza tako, hizo takataka hata mimi naweza andika. Hii kilimalimani kitu naeza kuona mostly ni vumbi na ugongo mwekundu together with cheap buildings.. kuwa na heshima na dunia kijana .. usitake tupost humu mipicha mingi humu
Kwahyo Capetown is behind NAIROBI likija suala la makazi .? π€£π€£π€£π€£.. dunia simama nishuke.. hivi unajua kwamba Unazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.?Sio sisi tumejiweka pale kilaza, usitukasirikie bure tafadhali ni dunia imeitambua Kilimani, sisi tulishtukia tu Kenya imetajwa, ni Nairobi ilivyo, zoea dogo sio makosa yetuππππππππ, na pia South Africa Cape Town's Sea Point estate, number 38 duniani, 2 in Africa, Kilimani number 1, ila imewauma sana mnaopenda kujitoa ufahamu, yaani kujitia hamnazo hamjambo, ila ukweli mnaujua ni wivu tu na kinyongo imewashika, unatamani ingekue ni Oyster bay imetajwa, zoeaπ π π π π π π π π π π π π π
View attachment 2396555
View attachment 2396559
Nyie wakenya na wapuuzi wengine, heb karibuni angalau kuwe hii dunia manzee π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£, kweli uta place miji ya Africa kwenye level za dunia π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£..Umeumia, je ingekua ni Oyster Bay?.., jinyonge nenda ukalilie pia na Sea Point Estate kule Cape Town South Africa, mimi sitakusaidia., jinyonge ukitaka π π π π π π π π π π π π π π π π π
Ujinga pelekea The best 007 sio mimi dogo, the report picked coolest, kwa vigezo wanazojua wenyewe, wewe jinyonge, mbona unaumwa hivyo? unataka mimi nibadilishe nini? it is what it is, wewe vumilia siku yenyu pia itafika tuπππππππππππππ..,Kwahyo Capetown is behind NAIROBI likija suala la makazi .? π€£π€£π€£π€£.. dunia simama nishuke.. hivi unajua kwamba Unazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.?
Nina mashaka na wewe mana wanuka mavi tunawajua kwa sifa za kijinga alafu ground hamna kituSio lazima uniamini mchawi.., si hitaji kukudhibitishia lolote bana, I am what I am nothing changes, your opinion is yours to keep.
Dunia sio Tanzania, wacha kujificha nyuma ya Africa jinga type, ni Tanzania kutotajwa ndio inakuuma hapa, Africa has places with world class standards, nimekuambia ujinga niondolee, nenda ukalilie kwa choo, nyambaffππππππ π π π π π π π π π π π πNyie wakenya na wapuuzi wengine, heb karibuni angalau kuwe hii dunia manzee π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£, kweli uta place miji ya Africa kwenye level za dunia π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£..
China pekee ina best cities na coolest estate zaidi ya 100.Ujinga pelekea The best 007 sio mimi dogo, the report picked coolest, kwa vigezo wanazojua wenyewe, wewe jinyonge, mbona unaumwa hivyo? unataka mimi nibadilishe nini? it is what it is, wewe vumilia siku yenyu pia itafika tu..,
Hata your best; kila kitu kiko shaghala bagala, no iota of planning
Nyie ndio mna domo domo ,misifa hewa, google earth imewaumbua vibaya, hamna kitu, dunia pia inazidi kuwaumbua mlivyo nyuma.., Kiswahili mingi yet empty, tunawakomesha na facts kisha mnaumwa kweli, hadi raha, mnanyooka mpende msipendeππππππππππππππNina mashaka na wewe mana wanuka mavi tunawajua kwa sifa za kijinga alafu ground hamna kitu
Nani aliyetaja huo uchafu, chanzo cha habari ni kipi, tunawajua wanuka mavi kwa kucheza na mitandao, eti among world's coolest estate, unaumwa Mavi weweDunia sio Tanzania, wacha kujificha nyuma ya Africa jinga type, ni Tanzania kutotajwa ndio inakuuma hapa, Africa has places with world class standards, nimekuambia ujinga niondolee, nenda ukalilie kwa choo, nyambaff
Hakuna Afrika nchi yoyote yenye Iko na places with world standards except SA, MOROCCO & EGYPT sio kenya.. wait a bit nimemuomba mwanangu yupo hapo Capetown now atume picha ili nikuthibishie kama wewe mwehu ..Dunia sio Tanzania, wacha kujificha nyuma ya Africa jinga type, ni Tanzania kutotajwa ndio inakuuma hapa, Africa has places with world class standards, nimekuambia ujinga niondolee, nenda ukalilie kwa choo, nyambaffππππππ π π π π π π π π π π π π
ujinga laanaππππππππππ.., tafuta vigezo vilivyo tumika kwa ranking kilaza kisha uje, utaendelea kukua boya hadi lini?πππππππππChina pekee ina best cities na coolest estate zaidi ya 100.