spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Kwa hiyo unataka tuweke na Kajiado, Voi na Lamu?nachekeshwa na uwongo aliotangaza hapa hadharani mtz mwenzako...
Kwa hiyo unataka tuweke na Kajiado, Voi na Lamu?nachekeshwa na uwongo aliotangaza hapa hadharani mtz mwenzako...
Tanga,Dodoma,Mbeya...etc. Those are villages not citiesKenya Sana miji michache sana.
Ukitoa Nairobi na Mombasa kwa mbaaali zinafuata Kisumu, eldoret, kiasi flani na Nakuru.
Baada ya hapo ni changanyikeni tu, Kisii, Narok, Moyale, Mwisho watakutajia mpaka Migori na Naivasha
Lakini Tanzania ni Raha Uchumi wetu kila Mahali
Dar Es salaam
Mwanza/Arusha/Tanga/Mbeya/Moshi/Dodoma
Morogoro/Iringa/Kigoma
Musoma/Shinyanga/Mtwara/Singida/Tabora/Kahama/Songea/Bukoba
Babati/Geita/Bariadi/Songwe/Lindi
Without Mentioning Zanzibar
Sasa ukitaka twende hukoukipenda...😀😀
refer to the comment above youSasa ukitaka twende huko
Hapo nitakuwekea
Korogwe/Nzega/S'wanga/Manyoni/Kondoa/Masasi
Iko mingi nimeiacha
binti toka mombasa....unawashwa na kitu gani?..mbona una hasira sana?.
![]()
![]()
![]()
sawa binti...nimeacha.Uache kuedit posts zangu ,waonekana ovyo sana.pilipili shambani mie nyumbani sina cha kuniwasha ,ushaona Babu.

Uache kuedit posts zangu ,waonekana ovyo sana.pilipili shambani mie nyumbani sina cha kuniwasha ,ushaona Babu.
Kenya Sana miji michache sana.
Ukitoa Nairobi na Mombasa kwa mbaaali zinafuata Kisumu, eldoret, kiasi flani na Nakuru.
Baada ya hapo ni changanyikeni tu, Kisii, Narok, Moyale, Mwisho watakutajia mpaka Migori na Naivasha
Lakini Tanzania ni Raha Uchumi wetu kila Mahali
Dar Es salaam
Mwanza/Arusha/Tanga/Mbeya/Moshi/Dodoma
Morogoro/Iringa/Kigoma
Musoma/Shinyanga/Mtwara/Singida/Tabora/Kahama/Songea/Bukoba
Babati/Geita/Bariadi/Songwe/Lindi
Without Mentioning Zanzibar
Tanga,Dodoma,Mbeya...etc. Those are villages not cities
Miji inayovutia Tz
Dsm, Mwanza,Arusha,Morogoro, Moshi,Tanga,Mbeya,Dodoma ..
Inayonivutia mm Dsm, Arusha Mwanza ,Moshi, Moro
We kama ni Me utakuwa mchicha mwiba sio bure nina kila sababu ya kufikiri hivyo!Kwa taarifa yako mie si binti,silii na wala sina hasira yeyote ile lakini acha kujiaibisha ,we ni dume limekoma tumia akili.
Wakenya wengi hupapenda sinza sijui ni kwann...utasikia wakisema sinza super sana kwa vijana pako organized na kuna starehe sana...ni karibu na cbd na nyumba ni bei ya katiArusha naweza ishi. ....the rest I don't think so.maybe Dar hapo upanga ni sawa
Wakenya wengi hupapenda sinza sijui ni kwann...utasikia wakisema sinza super sana kwa vijana pako organized na kuna starehe sana...ni karibu na cbd na nyumba ni bei ya kati
Haha karibu sana..Arusha inakaa fiti na weather poa sana halafu is very close to Nairobi. ..ni kuvuka tu Kajiado county and cross over na ushafika.........nitaambia boss anipee kazi ya ku market accounting system software huko hata for a month ndio nipate fursa ya kutalii na expense ya kampuni. ..hehehe
hapana....kadoda ni kijana cool sana....hana shida na mtu....pia anapenda sana jokes.huyu kadoda mtazunguka naye mbuyu bila kikomo. ....
ana talent ya uchokozi.Wachana na yeye brathe

early to mid 2000s,sinza ilikuwa ni moja ya suburb maarufu sana jijini dar.Wakenya wengi hupapenda sinza sijui ni kwann...utasikia wakisema sinza super sana kwa vijana pako organized na kuna starehe sana...ni karibu na cbd na nyumba ni bei ya kati
Na jee wewe huishi wapi kadodaearly to mid 2000s,sinza ilikuwa ni moja ya suburb maarufu sana jijini dar.
umaarufu wake ulichangiwa na celebrities wengi wa wakati huo,ku-rent nyumba maeneo yale.
pili,umaarufu wa sinza ulichangiwa na fresh university graduate...walipopata ajira zao za kwanza,wengi wao walienda ku-rent house sinza.
hali hii ikapelekea sinza ionekane ni kama beverly hill estate ya dar,ambapo kila kijana alikuwa ana ndoto ya kwenda kuishi.
sababu nyingine iliyopelekea sinza kuwa maarufu ni uwingi wa bar/lounge na nightclubs za kwenda kula bata.
ila kwa sasa sinza inapata upinzani mkubwa na eneo la tabata.
kwa nairobi,eneo ambalo vijana wengi hipenda kuishi ni buruburu.ni suburb poa sana.