Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dont make this a racial thing bro...😀😀...umesema mwandishi mkenya na ndio maana nikakuletea picha ile ili niku kosoe...ama kweli, ukitaka kujua mambo yalivyo nyumbani bila shaka ni vizuri kumwuliza mtu wa nje kwa sababu ni mgeni tu ndiye atakayeweza kubaini harufu mbaya iliyo sebuleni mwako...wewe mwenyewe huwezi ukainusa...
sawa nimekuelewa buda.

by the way,hata tanzania haipo nyuma katika kusifiwa na wazungu na nadhani inaweza ikawa inaongoza kwa kusifiwa zaidi EA.

huko twitter kuna mamia kwa maelfu ya tweets za wazungu zinazo sifia maeneo mbalimbali ya tanzania.
hizi ni baadhi tu kuhusu serengeti.
b1f9152c8b5f4eebf1d57c587c355144.jpg
b19fac990580ccf59402cb179b769801.jpg
bb52d941245d3e205948ff14b37e2681.jpg
a6a2bb80f04f0690845c1ed49ec156d9.jpg
9a27db157d72cda5bb2484a78062f914.jpg
54e025b30c6fdcad874c3da55dfb837b.jpg

nikisema nizilete zote hapa,thread haitotosha labda tufungue thread maalum .
 
Sifa za nature mko sawa. But ikikuja development, infrastructure and stuff Kenya is pretty far ahead of you guys.
 
Sifa za nature mko sawa. But ikikuja development, infrastructure and stuff Kenya is pretty far ahead of you guys.
hahahahaha... Buda inaonekana roho inakuuma sana kugundua kuwa tz huwa inasifiwa sana na watu wa mataifa ya magharibi.

kwa taarifa yako hatusifiwi tu katika masuala ya nature,hata infrastructure huwa tunasiwa.
tazama hii..
11107b485bb791232d546edab6c7eb0a.jpg
d684391c8cbcc77ad67cad774f83c685.jpg
e898d4f19de8465c1e905ef73f80bdaf.jpg
bebd68fce125371201d38c434e0f9d91.jpg

NB:sio tu wazungu bali hata watu wa kutoka nchi jirani,huwa wanasifia sana infrastructure ya tanzania.
tazama huyu mkenya alivyo bambika na BRT yetu.

e4870eb938a4c18d53939d68c054f88b.jpg
 
repost:
bad news for Kenyans....is it because of insecurity issues or what?.
1d9173848610370f54e6eebdc3941a96.jpg
 
Uzi mtamu sana huu mbona wadau mmeukaushia kama vip tuanzishe mwingine wa Costal cto Costal. Mombasani // TangaKunani
Kenya Sana miji michache sana.
Ukitoa Nairobi na Mombasa kwa mbaaali zinafuata Kisumu, eldoret, kiasi flani na Nakuru.

Baada ya hapo ni changanyikeni tu, Kisii, Narok, Moyale, Mwisho watakutajia mpaka Migori na Naivasha

Lakini Tanzania ni Raha Uchumi wetu kila Mahali

Dar Es salaam
Mwanza/Arusha/Tanga/Mbeya/Moshi/Dodoma

Morogoro/Iringa/Kigoma

Musoma/Shinyanga/Mtwara/Singida/Tabora/Kahama/Songea/Bukoba

Babati/Geita/Bariadi/Songwe/Lindi

Without Mentioning Zanzibar
 
Kenya Sana miji michache sana.
Ukitoa Nairobi na Mombasa kwa mbaaali zinafuata Kisumu, eldoret, kiasi flani na Nakuru.

Baada ya hapo ni changanyikeni tu, Kisii, Narok, Moyale, Mwisho watakutajia mpaka Migori na Naivasha

Lakini Tanzania ni Raha Uchumi wetu kila Mahali

Dar Es salaam
Mwanza/Arusha/Tanga/Mbeya/Moshi/Dodoma

Morogoro/Iringa/Kigoma

Musoma/Shinyanga/Mtwara/Tabora/Kahama/Songea/Bukoba

Babati/Geita/Bariadi/Songwe/Lindi

Without Mentioning Zanzibar
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom