kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
juma jux yupo kwenye twenties na tayari anamiliki nyumba yake binafsi...so usishangae "msee".So are 20 year olds owning houses in Dar?
juma jux yupo kwenye twenties na tayari anamiliki nyumba yake binafsi...so usishangae "msee".So are 20 year olds owning houses in Dar?
unataka wote tushinde MMU kubishana na wamama/wadada wa jf?.Sijaona ubishani usio na maana JF kama huu.
Hivi hili swali Umeuliza unawaza kweli au!!So are 20 year olds owning houses in Dar?
Hahaha umenifanya nichekeunataka wote tushinde MMU kubishana na wamama/wadada wa jf?.
au unataka wote tushinde jukwaa la siasa kubishana kuhusu siasa za chadema vs CCM?.
Tuanze na wewe kwa mfanoLeteni nyumba mnazomiliki sio kurent.
Hapa mtakimbia wote
Mwenzio sio wa twenties kama unavodhani, Mimi nimekuwa huko Nairobi miaka Tisini mwishoni. Kibaki kaapishwa Niko town hapo kwa hiyo sio Mjadala kumiliki Nyumba tena zaidi ya Moja.Tuanze na wewe kwa mfano
Introverts like me, think very well before even attempting to move the cursor.Hivi hili swali Umeuliza unawaza kweli au!!
That's a micro drop in the ocean.juma jux yupo kwenye twenties na tayari anamiliki nyumba yake binafsi...so usishangae "msee".
![]()
![]()
huyo anafahimika kwasababu ni celebrity... ila nina hakika wapo wengine ambao sio celebrity, wanamiliki nyumba zao binafsi while in their twenties.That's a micro drop in the ocean.
So kwa ufupi majority of people in their twenties own houses in Dar than the minority who rent houses? Au unamaanisha nini?huyo anafahimika kwasababu ni celebrity... ila nina hakika wapo wengine ambao sio celebrity, wanamiliki nyumba zao binafsi while in their twenties.
construction of private houses in dar es salaam is causing the city to transform
very fast hence stimulate the growth and sustainability of construction sector.
apart from tall buildings,malls and apartments,new private houses are being built almost everyday while the older ones are renovated.
NB:
we use cement bricks not stones like kenya (many houses in nairobi are built with stone bricks).
photos.
hapa kazi tu..tupo site "msee".
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ni sawa...lakini sio kwa tanzania.Only the few privileged can build a house in their early twenties fresh from college
binti wa mombasani,unalia nini?...punguza hasira.[emoji23] [emoji24]Hee!! Babu,huna haya kupost vitu via ajabu hivyo eti makaazi ya dar? huku kwetu hayo ni makaazi ya kule vijijini wala huwezi kuyapata hapa nairobi ,lakini nikikuambia uache nitakua nakupandisha cheo ,endelea kuweka utuoneshe jinsi ulivyoshamiri katika upumbavu.
binti wa mombasani,unalia nini?...punguza hasira.[emoji23] [emoji24]
ooh,basi samahani...nilidhani wewe ni binti...ila punguza kuongea ujinga.Kwa taarifa yako mie si binti,silii na wala sina hasira.
Tunabishana au maana sijakuelewa???Unajua 17 floors wewe??
Hio nini unatuekea hapo????This is how construction in kisumu is booming. ......this poly view estate is only 5 years old....
![]()