Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iyo ni katiba yao sisi yetu tunataka nao wawajibike wakifanya tofauti na utaratibu
Katiba bila watu/viongozi waliopo tayari kuitii na kuitekeleza ni sawa na kuwepo kwa vitabu vya dini vinavyokataza Mambo mabaya lakini kila siku tunazidi kuyatenda, wakiwemo hao hao viongozi wa dini ambao wanapaswa kulinda na kusimamia maelekezo ya Mungu. Kwani Magufuli alivyokataza mikutano ya vyama vya siasa kinyume na katiba ya Sasa, nani alithubutu kumpinga?.

Hiyo katiba mpya itakua na kipi kipya cha kuweza kujisimamia yenyewe ili isiweze kusirigwa na vyombo vya Dola na viongozi waliopo madarakani?
 
Himars sio Air defence system, hiyo yetu hapo ni Surface to Air missiles kwa akili ya kudungua vile vdege vyenu chakavu F-5 vikijaribu kuingia katika anga yetu[emoji23][emoji23]
 
Hayo yakwenu hapo uliyoonyesha ndio nini?, Toeni upuuzi wenu huu[emoji23][emoji23]
 
Ndio richest tribe in Africa according to mkunya mmoja alikua na list ya richest tribes 😅😅😅😅
 
Mimi sio mwanasheria maswali yako siwezi kuyajibu.
 
Barabara zenu zina humps iyo bugatti yenye low ground clearance inapita wapi?
Ni wakati sasa tuondoe matuta na Rasta kwenye barabara zetu
So barabara za Danganyika hazina bumps? As far as I know Tanzania has worser roads than Kenya in all aspects

 
Nilishasema katiba mpya bila kuwa na viongozi wazalendo, kizazi chenye maadili mazuri, nchi na dola kutozingatia haki na matakwa ya wananchi ni sawa na kutangaza amani huku umeficha panga kiunoni.
 
We nae hujui kwamba Watiz tunacheza na lugha
 
Naona wamepiga marufuku uuzaji wa viwanja vya makazi vilivyo chini ya mita 20-20 ila kuna baadhi ya miji mipya huko wenyeviti wa serikali za mitaa awaelewi kabisa bado wanaidhinisha huo ujinga
 
Naona wamepiga marufuku uuzaji wa viwanja vya makazi vilivyo chini ya mita 20-20 ila kuna baadhi ya miji mipya huko wenyekiti wa serikali za mitaa awaelewi kabisa bado wanaidhinisha huo ujinga
Serikali inatakiwa kuwa serious na hili jambo lasivyo wenyeviti watavuruga miji inayochipukia, halafu hawa wenyeviti wana utaalamu gani wa kupima ardhi?
 
Kuna eneo nililiona huko kibamba,kuna viwanja hadi vya mita 5-5,wenyeviti wa serikali za mitaa wana % wanapata kinapouzwa kiwanja,sasa wao awangaalia mandhari ya mitaa wanaangalia pesa tu
Serikali inatakiwa kuwa serious na hili jambo lasivyo wenyeviti watavuruga miji inayochipukia, halafu hawa wenyeviti wana utaalamu gani wa kupima ardhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…