Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka hii update ni ya maana sana. Appreciated!
 
JPM was a man and a half...vitu alivyofyatua ndani ya miaka mi5 sio vya mchezo mchezo...so many things to remember him with...
 
Enough Said Bro!πŸ™πŸΏ
 
Acha uongo wewe sukuma gang..

Onyesha facilities kama hizo Songwe,Njombe au Rukwa..

Mnapendaga Sana kusifia yule mtu wenu failure kama mlivyokuwa mnadanganya kwenye barabara matokeo yake saizi mnaumbuka.
 
Tutawaonyesha namna ya kujenga park hawa wadogo zetu ,Msimbazi is loading....................! compliment of the city, Coco Beach itakapokuja mezani seriously, maana ufukwe upo tu.. sielewi!.
 
Acha uongo wewe sukuma gang..

Onyesha facilities kama hizo Songwe,Njombe au Rukwa..

Mnapendaga Sana kusifia yule mtu wenu failure kama mlivyokuwa mnadanganya kwenye barabara matokeo yake saizi mnaumbuka.
Njombe during Magufuli error so far.. soko πŸ‘‡jengo la halmashauri πŸ‘‡stendi πŸ‘‡barabara πŸ‘‡hata financial institutions zilijengwa kipindi cha utawala wa mjomba πŸ‘‡NSSFπŸ‘‡miradi mingine ya maendeleo πŸ‘‡... Hata Tz yenyewe huijui we maku.. tuliza tako hilo
 
Nimekwambia niletee mahakama kwenye Mikoa niliyotaja wewe unaleta stand na majengo ya utawala ambayo yanajengwa kila mwaka na Serikali,hata sasa majengo mapya kibao yanajengwa zikiwemo stand..

Niletee mahakama kama zile uluzosema ziko.kila Mkoa ,mimi nataka Uniletee Njombe ,Songwe na Rukwa tuu..

Mwisho uachage ujinga basi,Hii ni Agreement Hotel sio Ofisi ya Nssf Njombe πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221020-231042.png
    268.4 KB · Views: 28
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wamekaa kimya nguvu zote zimewaishia [emoji1787]
Kuna mtu atatumwa ataweka bambuli yenye vijengo vitano alafu itazungushwa zungushwa hyo picha uambiwe ndiyo the best in Africa. Yani hawana jipya wamemaliza kila kitu, cc tunaweka vitu vipya wao wanakomaa na vitu vya mkoloni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mahakama njombe πŸ‘‡View attachment 2393192we kondoo mnuka Mavi The Sunk Cost Fallacy. Leta pumbu hizo
Kwa hiyo kajengo mshenzi haka ndio inafanana na zile ulizoleta? Tena level ya Mkoa wakati Chato hapo kuna Jengo kubwa kabisa na ni kiwilaya tuu?

Rais mshenzi tuu aliyekuwa anapendelea kwao,hata hicho kistand Cha Njombe haliwezi fanana hata kidogo na Chato..

Mwisho Kila mwaka serikali inajenga majengo mapya ya Taasisi na ofisi zake Wala haihitaji kusifia saana vitu minor,tena awamu hii kama ni ujenzi wa kitaasisi za serikali ni upo kila mahala Tanzania..Juzi nilikuwa Songwe kuna ujenzi wa jengo kubwa kabisa jirani na Ofisi ya RC.

Baadhi ya Ujenzi unaoendelea,mfano hapa ni Mbeya kuna ujenzi wa,

TIA,
ADEM,
Ofisi ya DPP MkoaπŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221016_062520_017.jpg
    755.3 KB · Views: 31
  • IMG_20221016_090013_638.jpg
    1.1 MB · Views: 31
  • IMG_20221016_085945_937.jpg
    1.1 MB · Views: 29
  • IMG_20221016_114645_696.jpg
    1.6 MB · Views: 35
  • IMG_20221016_115003_688.jpg
    1.1 MB · Views: 35
Unaliwa kweli we jamaa, hakuna mradi mpya w awamu ya sita hata mmoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Hicho tuu kituo hapo ni mradi mpya ,jengo lilianza kujengwa 2021 na Sasa limeshakamilika,ni pesa za WB wewe huwezi jua haya mambo zaidi ya ushabiki..

Tofautisha awamu ya 5 na 6,awamu ya 6 ina pesa sio porojo.

Wodi mpya za Hospital ya Mkoa wa Mbeya chini ya Global fund πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221020-233348.png
    118.9 KB · Views: 32
  • IMG_20221016_070652_759.jpg
    1.1 MB · Views: 31
  • IMG_20221016_070731_210.jpg
    1 MB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…