Kumbe pia uko hapa mimi nilifikiri upo tuu kule kwenye lile jukwaa letu pendwa la SMO.The day this bonehead will be the President of Uganda,he will strike Kenya.๐๐
I hear some journalist from Kenya asked my father to ban me from Twitter? Is that some kind of joke?? I am an adult and NO ONE will ban me from anything!View attachment 2391741
Mtu aliiba mitihamni unafikiri kuta kitu kichwani hapo?View attachment 2392303
Msikilizeni vizuri waziri msomi, mimi sijamuelewa
Jukwaa gn hilo mkuu tuje.Kumbe pia uko hapa mimi nilifikiri upo tuu kule kwenye lile jukwaa letu pendwa la SMO.
Naona haters wake mumeshikilia bango baada ya Makamba JR kukanganga TakwimuView attachment 2392303
Msikilizeni vizuri waziri msomi, mimi sijamuelewa
๐ฌ๐ฌ๐ฌ Yaani Mimi ni pro ๐ท๐บ,baada ya SMO kuanza nilihamia huko kwa mda, Nina mahaba na millitary news Sana mkuu, ๐คฃ๐คฃ, though mwanzoni nilitumia user name ya Ntaghacha. Mbona sikuoni kule SMO mkuu?Kumbe pia uko hapa mimi nilifikiri upo tuu kule kwenye lile jukwaa letu pendwa la SMO.
Ni jukwa la international kwenye vita ya Ukraine , nipo sana kule nafuatilia ndiyo maana nimeadimika.Jukwaa gn hilo mkuu tuje.
Nipo kule toka vita ianze ila niliamua kuwa msomaji tuu, kijiwe changu ni kule kwa sasa kwasababu matokeo ya ile vita yatatuathiri sana sisi na vizazi vyetu vijavyo.๐ฌ๐ฌ๐ฌ Yaani Mimi ni pro ๐ท๐บ,baada ya SMO kuanza nilihamia huko kwa mda, Nina mahaba na millitary news Sana mkuu, ๐คฃ๐คฃ, though mwanzoni nilitumia user name ya Ntaghacha. Mbona sikuoni kule SMO mkuu?
Kumbe wewe ni Ntaghacha nilikuwa najiuliza yuko wapi huyu.[emoji51][emoji51][emoji51] Yaani Mimi ni pro [emoji635],baada ya SMO kuanza nilihamia huko kwa mda, Nina mahaba na millitary news Sana mkuu, [emoji1787][emoji1787], though mwanzoni nilitumia user name ya Ntaghacha. Mbona sikuoni kule SMO mkuu?
Huwa nashangaa umeadimika sn huku.Ni jukwa la international kwenye vita ya Ukraine , nipo sana kule nafuatilia ndiyo maana nimeadimika.
Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi umefika kiwango cha zaidi kwa miaka mingi, lakini juhudi za kidiplomasia pia zinafanya kazi kwa bidii...www.jamiiforums.com
LNG na miradi mingine anayo sign iko salama kiasi gani?Mtu aliiba mitihamni unafikiri kuta kitu kichwani hapo?
Hii barabara itachukua miaka mingi mno kujengwa bora wangeachana nayo, yaani inaisha January 20235 tuliopo sasa hivi tutakuwa tumekufa wote๐๐
Mm nawashangaa sana zaidi ya barabara yao ile dual way waliozoea kuiposti hamna nyingineeHuku bongo barabara kila mkoa zipo na zinaendelea kujengwa, afu kule kenya barabara hata hazionekan zikijengwa, lkn eti wanasema wana barabara nyingi kuliko sis
Hizi kunya huwa zinatushinda kwenye makaratasi. Hamna kitu zaidi slum na njaaMm nawashangaa sana zaidi ya barabara yao ile dual way waliozoea kuiposti hamna nyinginee