Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

African view [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2379841View attachment 2379842
African view
JamiiForums1885240045.jpg
 
Maniner Zanzibar🙌🏾🙌🏾

Yaani International Airports zetu zote ziko busy, juzi nimepita KIA ukigeuka huku Qatar, huku KLM, huku Emirates, huku Ethiopia, huku ATCL, huku Fly Dubai, and ofcoz na ile the most broke Airline in the entire regional………😅😅 yaani nchi iko busy sio kakiwanja kamoja tu kama akina Kamau😅😅
 
Technologically challenged Tanzanians, hivi hadi sahii hamjajua trends zinakuwanga customized to the user? Here is my twitter trends in Kenya, umeona Magufuli wapi hapo?
View attachment 2380086
Ukiacha na hii trending in football ya Messi or Ronaldo, Do you see any other difference, now?
You can even see the digits are almost similar.. so, by that time, Magufuli alikuwa anatrend huko.. uache ubishi
Na hio kuwa customized na user..mim na hii 'verasidika' wap na wap? Or, what/who is ichaweri? Or, hii #pombeyausiku..kuwa customized kwangu..wap na wap..which is which?😁
Screenshot_20221007-222045_Twitter.jpg
 
Technologically challenged Tanzanians, hivi hadi sahii hamjajua trends zinakuwanga customized to the user? Here is my twitter trends in Kenya, umeona Magufuli wapi hapo?
View attachment 2380086

Kitu kama hujui sio mbaya ukikaa kimya.
Kingereza simple tu huelewi “Trending in kenya” kukiwa na maana ina-trend kenya.

Halafu kuna tofauti kati ya trend for you na trending in …
Halafu kitu huwa inaingia kwenye trending ya twitter inaweza trend one hour ikatoka au hata siku nzima inategemea wingi wa tweets.

Kingine wakenya huwa mkiona chochote kina trend twitter huwa mnaandika chini ya tweets “zenyu” hilo jina au neno linalo trend ili mtembelee trend.
IMG_4488.jpg

IMG_4489.jpg
 
View attachment 2380124

View attachment 2380125
Wafundishe hao 'malazy fools'
 
Unawezaje kulikosea heshima taifa lako kiasi hicho? Tujifunze kumtumia akili sio hisia.Nchi Ina kiongozi anaweza kuwa na madhaifu tuukosoe udhaifu na si kuvinja heshima kiasi.Sijui kwanini Mods hawaoni comments mbaya kiasi hiki
Unajichosha bure Kwa kujibizana na taahira za Mwendazake.
 
Back
Top Bottom