chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,712
- 46,008
Empty headed + empty stomach = deadbody 😅😅😅Atapiga mbwa sanaaa izo
Empty headed + empty stomach = deadbody 😅😅😅Atapiga mbwa sanaaa izo
He is a brat trying to prove himself to his father and his useless country that he can rule the weak army of Uganda
Anathani yye ni Prince William akiwinde mnyama afurahishe babake!!!apewe attention!!🤣
But hiyo aifai kuwa jokes if it was Mexico joking about Amerika like that kangeumana!Mwanzo nilijua yuko serious kumbe anafanya joking,ana utani sana na nyinyi [emoji23][emoji23][emoji23]
sasa tumechochea Nini kwani si kamanda wa Jeshi la Uganda Amesema ataiteka Nairobi!!!
Kenya vyombo vyenu vya habari uwa vinapika chuki sanaaaa mjiepushe na hilo muda wa RUNGU LA MUHOZE likifika mtalia tyu,,.... acheni kua mnachochea vitu vya hatari kama hivyo lakini siku zote uwa amuelewi tunachowashauri,,,,,......
He talks recklessly but always on point and he wasn't joking. Remember, his father, while assessing the impact of including Kenyans in war against Al Shabab, he described Kenyan forces as "carrier army" and unfit.Just why I asked that. If its a joke just good for you but in a diplomatic way I think it's not a good joke bro.He should have avoided the use of fighting in army uniforms.
If am not correct pls be patient on me.
Somalia walitaka kutuibia county na sea yetu ,Uhuru akaanza kupanga Vita na mazoezi ya Jeshi mpakani wa Somalia!!TRUE ila vitu vya mtandaoni ampashwi shupalia... sana , ... ila vina ukweli ndani yake for true jeshi la kenya ni dhaifu.... sana
Sawa ila na ww unatupiga rungu sasa,. najua ilo ila mlishindwa dhibiti alshbab paka leo kama mngekua na uwezo mngeingia somalia.. ila yalio wakuta ndio ayo kila siku mkawa mnashambuiwa,, ilo litoshe kusema jeshi lenu ni dhaifu na mna maneno mengi ya mdomo sana,..Somalia walitaka kutuibia county na sea yetu ,Uhuru akaanza kupanga Vita na mazoezi ya Jeshi mpakani wa Somalia!!
Arab states wakaona hatujokes wakamtuma Turkey aje atutishe juzi eti tukimvamia Somalia eti ataidefend Somalia na drones na ukweli alileta drones!!!
Walijua Kenya sio ya kuchezewa ndio maana hawakufanya lolote!!!
Na Kama Jeshi letu lingekuwa dhaifu Basi Nchi yetu kulingana na Nchi tulizopakana nazo North,tungekuwa tumeshatekwa ama tukauwawa wote na Mataliban!!!
na si pia Jeshi la waganda wanauliwaga huko Somalia,in a fight you must loose mpaka Us army wameloose maisha huko Somalia!!!lakini sijaona Jeshi la TZ likiwa Somalia🧐🤔He talks recklessly but always on point and he wasn't joking. Remember, his father, while assessing the impact of including Kenyans in war against Al Shabab, he described Kenyan forces as "carrier army" and unfit.
Just have a look at the numbers of casualties Kenya had suffered in the hands of Al shabab since they stepped in Somalia, then, compare those deaths or attacks with other forces [ Uganda, Burundi, Ethiopia] in Somalia.
That would provide empirical facts about Kenyan army and Kenyan domestic security organs.
If you substitute running, they are poor in nearly every sphere of meaniful activities.
Somalia walitaka kutuibia county na sea yetu ,Uhuru akaanza kupanga Vita na mazoezi ya Jeshi mpakani wa Somalia!!
Arab states wakaona hatujokes wakamtuma Turkey aje atutishe juzi eti tukimvamia Somalia eti ataidefend Somalia na drones na ukweli alileta drones!!!
Walijua Kenya sio ya kuchezewa ndio maana hawakufanya lolote!!!
Na Kama Jeshi letu lingekuwa dhaifu Basi Nchi yetu kulingana na Nchi tulizopakana nazo North,tungekuwa tumeshatekwa ama tukauwawa wote na Mataliban!!!
mpaka Russia the great red army wamepoteza maisha Ukraine!!thousands of trained army personnel!!Sawa ila na ww unatupiga rungu sasa,. najua ilo ila mlishindwa dhibiti alshbab paka leo kama mngekua na uwezo mngeingia somalia.. ila yalio wakuta ndio ayo kila siku mkawa mnashambuiwa,, ilo litoshe kusema jeshi lenu ni dhaifu na mna maneno mengi ya mdomo sana,..
All in all kuwenu watulivu tyu msubili kunyolewa upara,,
Yani ww unachekesha sana kwani somalia tunapakana nao na walisha tushambulia au ndio kujitia kiherehere hapa soma history ya JWTZ ndio uje uongeee usiongee maneno matupu.. ata vita amjawai kupigana majambazi yanawashinda tyu aseeee,.. ME SIJUI KENYA MNA MATATIZO GANI.. au ndio ile proud kenyana si pia Jeshi la waganda wanauliwaga huko Somalia,in a fight you must loose mpaka Us army wameloose maisha huko Somalia!!!lakini sijaona Jeshi la TZ likiwa Somalia🧐🤔
Kwanza KDF lilipewa duty sehemu mbaya kabisa uko Somalia!mpaka tuna protect Ikulu ya Rais wa Somalia!ndio maana unaona aliens wengi wasomalia huku Nairobi Eastleigh because they see us Kenya as their Protector!!!

sasa nikuulize si pia hapo kulikuwa na US special terror task force mbona pia wao walishindwa???View attachment 2376520
Kama hawa jamaa mliwashindwa na amkuwakamata ni haibu sana,,, itoshe kusema jeshi la kenya ni dhaifu sanaaaaaaa
kweli ila na mimi nkuulize kwanini mliingia vitani na uku mliona marekani kashindwa ilo eneo taztizo nyie ni wapenda sifa sana.. wakubwa walivyo shindwa ndio wakawapa kichwa mkapigane that's why mlipigwa for true... na mlitumiwa na mmarekani then akawatelekeza..sasa nikuulize si pia hapo kulikuwa na US special terror task force mbona pia wao walishindwa???
Pia SWAT ilikuwemo hapo kwa hio scene!
Sio eti tulishindwa ni eti hao magaidi walikuwa trained na walikuwa wanajua maeneo hayo mazuri wameshaisoma siku Nyingi!!
Wakikuja kuvamia walikuwa wanajua kenye wanafanya na walikuwa ready to die,wakispray bullets ovyo!!
Jeshi halinge spray bullets Kama magaidi wasi umize raia ambao wako innocent!!!
Nyie hata chakula hamuwezi ku-afford!Ubaya mnazijenga lakini watanzania hawana pesa za kutumia hizo airports.
ndio I wish KDF haingewai ingia uko hiyo ilikuwa makosa!wanageilinda mipaka yetu pekeekweli ila na mimi nkuulize kwanini mliingia vitani na uku mliona marekani kashindwa ilo eneo taztizo nyie ni wapenda sifa sana.. wakubwa walivyo shindwa ndio wakawapa kichwa mkapigane that's why mlipigwa for true... na mlitumiwa na mmarekani then akawatelekeza..