Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,680
- 15,713
Masaki hiyo
Masaki hiyo
umekaa kabisa unasubiria comeback japo nmewaona juzi, pyramid ya mwaka huu mbovu kupitiliza
Umepatia. Masaki kwa sasa inawaka moto kwa Apartments za kumwaga.Masaki hiyo
Kwa sasa, Kenya haina hadhi ya Kushindana na Tanzania
Tulishawaacha mbali sanaKwa sasa, Kenya haina hadhi ya Kushindana na Tanzania
adding salt to the woundKwa sasa, Kenya haina hadhi ya Kushindana na Tanzania
Even Kenya did it till President Moi introduced the 8-4-4 system. Our parents, uncles and aunts generation went through the National Youth Service in Gilgil before joining universities .. nothing new to KenyaJifunze kuhusu dunia. Style hiyo inayofanywa na Tanzania ni Israel Style. Nchi zinazofanya kama Tanzania ni:
Singapore
Israel
South Korea
Thailand
Vietnam
Iran
Turkey
Russia
Kazakhstan
Kyrgyzstan
Finland
Sweden
Norway
Denmark
Austria
China
Greece, Cyprus, Estonia, Latvia, Lithuania, Switzerland, Brazil, Colombia, Mexico, na Croatia
Orodha ni ndefu sana. When you say World what do you mean?
Never ever again try to compare Tanzania with Kenya., They are from different planets.Even Kenya did it till President Moi introduced the 8-4-4 system. Our parents, uncles and aunts generation went through the National Youth Service in Gilgil before joining universities .. nothing new to Kenya
Hiyo post ni fake news, aliye quote ni mkunya.Kifo ni sehemu ya Jeshi.
Wanajitahidi sana kuzusha taarifa za uongo. Hiyo ni dalili ya kushindwa. Baada ya hapo Kenya itakuwa historiaHiyo post ni fake news, aliye quote ni mkunya.
Young killer anasema "usishindane ukanganta, sa si bora ukimbie" 😂 😂Wanajitahidi sana kuzusha taarifa za uongo. Hiyo ni dalili ya kushindwa. Baada ya hapo Kenya itakuwa historia
We never do .. it’s you who wanna be us in every economic aspect… we do something, you follow up in a similar fashion. That’s why I believe in your state house, there is an office for “ What has Kenya done lately “…😆😆… There is plenty of evidence to back my statement…. 💯😜Never ever again try to compare Tanzania with Kenya., They are from different planets.
Kenya has emerged from hell; Tanzania has emerged from paradise.