The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kama Hapo ni Joz, hapa si ni china sasa.? 🤣🤣🤣 👇.
Haijawahi kutokea mkunya akapiga picha kwa mkono wake akapost humu mana wataumbuka, ka Nairobi ni vumbi mtindo mmojaHuna picha inayoonyesha uhalisia kama hii.?View attachment 2363827picha nimepiga mwenyewe na sinaediti hii
utalinganisha na nini kutoka huko kwenu .?











Road vumbi mtindo mmoja, Arusha moja hiyo









Soja uko hapa na vitu vinaibwa kule kwa store?
Tanzania also lags behind Kenya inAnd Tanzania still lags behind Kenya and Uganda when it comes to markets.






Hold on .. kwamba .?China has more than three towers, China has more than two interchanges, China has more than one flyover. China electricity connectivity is not 30%.
Kwahyo ulisimama huu kwa 7bu zipi za msingi...yani hii nchi kuna v2 vinakera sana basi tuMorocco square final touches.
Waiyaki hata kilometers 5 ndani ya naipori hainaWaiyaki way so far 👇View attachment 2363959hii ni sawa tu Nyerere road 👇View attachment 2363960View attachment 2363961View attachment 2363962by the way Nyerere road is at least 3 times longer kwa huo upuuzi waiyaki way
Magufuli way ..
ni uhuru CS tu au hadi wake atakaowateua 😀
Morocco square final touches 👇.
Nimeangalia videos za Wayiaki nimeona maelfu ya watu wanatembea kwa miguu kama mashindano, ina maana hawawezi kumudu nauli ya daladala?Now you are diverting attention after being thwarted like nobody's business 😂😂😂. Next time don't joke with Wayiaki Way, okay?
Does that stop Wayiaki Way from being better than any road in Dar is slum? Again you are talking about a 3 year old video when Wayiaki Way was still under construction.Nimeangalia videos za Wayiaki nimeona maelfu ya watu wanatembea kwa miguu kama mashindano, ina maana hawawezi kumudu nauli ya daladala?
Nimeangalia video ulioweka wewe, hata sidewalks hakuna, kwanini watu wanatembea kwa mguu? 😂😂😂Does that stop Wayiaki Way from being better than any road in Dar is slum? Again you are talking about a 3 year old video when Wayiaki Way was still under construction.
JPM aliusimamisha!Kwahyo ulisimama huu kwa 7bu zipi za msingi...yani hii nchi kuna v2 vinakera sana basi tu
In the US, there are way more crashes in a year than in the whole of Africa. Why? There is a more active airspace therefore chances are, accidents are most likely to occur.Kwnn watu bado wanaziamini ndege za Kenya? Mm hata kq naogopa kupanda, madege mengi ni ya zamani lkn pia hayana service ya maana ndio maana Kenya inaongoza duniani kwa madege kuanguka.
In the US, there are way more crashes in a year than in the whole of Africa. Why? There is a more active airspace therefore chances are, accidents are most likely to occur.
This is just 4 days ago
Sasa tanzania na aircraft activity is close to zero unaexpect aje kuona frequent air accidents??
Nionyeshe mahali "nimejifananisha" ama nimefananisha kenya na US. Read to understand, don't read to respond mzeepeleka Ukunya sasa unajifananisha na the US? unajua anga la US lina flighs ngapi kila siku?