The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Ni lugha ya kijinga hiyo inatumika ila kinachofanyika ni ujenzi wa barabara,masoko,madampo,stand za mabusi na baadhi ya miradi kadiri Halmashauri ilivyopendekeza mfano public gurdens na maghala au parking za malori..Katika “Kupendezesha” miji ni vitu gani wanalenga kufanya?
Tani Mil.1 za mzigo kupita hapo Mtwara zitatoka wapi ikiwa serikali haifanyi mambo kimkakati?Ports ni biashara nzuri tukaze boot ..ndo maana zile report kwamba Dar port alone kama contribute upto 5bn usd to gdp if improvedView attachment 2363107
Mji wa serikali ni Kwa ajili ya watu wa serikali na affiliates sio kwa ajili ya Wananzengo..Sababu kuu ya kujenga districts mpya ni serikali kusema kuwa hawataki kuchangamana na hali duni ya Dodoma. Kwa hiyo ni Heri kutengeneza “picha mpya” mahali pengine. Kama wangekuwa wanaweza kuhamisha bunge pia wangejenga mahali pengine, but that would be controversial.
Hizo infrastructures wanazojenga kwenye mji wa serikali zinastahili kumfikia kila mwananchi, si taasisi za serikali peke yake. Tayari tumeshaanza kutengeneza matabaka kwenye national capital, na ndio reflection ya mahali nchi ilipo na inapoelekea.
Nimewahi kupendekeza mara kadhaa kwamba Serikali iunde wakala independent kwa ajili ya land administration and town planning kama zilivyo Tarura,TanRoads nk.Hapo kweli aiseh lazima vision iwe set na plan ziwe wazi na ziwe implelemted kwa local goverments zote ..kuhakikisha zones na planning inafanikiwa inabidi mindset zibadilishwe na serikali za mitaa kihakikisha mipango miji inatekelezqa
I wanted to ask same question nikaona nimute🤣🤣Do you know what a financial district is?
Huwa mnachekesha kweli. Yani render ya project moja with less than 8 structures ndio inawapa orgasm? Such projects are coming up in hundreds huku Nairobi. Example is this one in Mombasa road, construction has already started while ya kwenu hata bado hamjui itajengwa lini.Wakunya jiandaeni, WB lazima wapandishe upya real-estate value yetu juu zaidi
Hapo kwenye huo mji ni both financial and political shits zinajengwa hapo, lakini uwezekazaji mwingi zaidi katika hilo eneo ni uwekezaji wa kibiashara (that's the reason nimeita it's a new financial district) .. majengo ya ofisi tofauti tofauti za kibiashara, hotels n.k .. usije ukadhani sijui nnachokisema .. nafuatilia hadi uuzaji wa viwanja hapo kwenye hilo eneoDo you know what a financial district is?
good trial. not bad👏🏽Dom new financial district U/C👇View attachment 2363131View attachment 2363132View attachment 2363133View attachment 2363134View attachment 2363135View attachment 2363136View attachment 2363137View attachment 2363138View attachment 2363139View attachment 2363140View attachment 2363141tuko na bright future sana
🎼🎶🎤"mi nakata.. huyu dem ni wakwangu..AKUNA KIPYA APO DOGO angalia mwanza iyo ahhahaaaa mtu mzima atishiwi nyau
View attachment 2363077
NDIO uzitaje sasa acha nyegeClubs qualifying for world cup? Were you born this stupid or you are just mutating to be one?
When will you stop being stupid? There's nothing like political centers and you also need to learn the meaning of financial center, Business Center, Military Center and Administration Center. Dodoma is just an administration center, nothing more.Hapo kwenye huo mji ni both financial and political shits zinajengwa hapo, lakini uwezekazaji mwingi zaidi katika hilo eneo ni uwekezaji wa kibiashara (that's the reason nimeita it's a new financial district) .. majengo ya ofisi tofauti tofauti za kibiashara, hotels n.k .. usije ukadhani sijui nnachokisema .. nafuatilia hadi uuzaji wa viwanja hapo kwenye hilo eneo
Which club have you ever seen participating in world cup?NDIO uzitaje sasa acha nyege
nakubaliana nawe kweli.. kiswahili kitamu na nnakienzi kwa dhati😍Kiswahili najivunia mimi