Yeah ndo maana lazima tuwe na mixed sources kama Gas plants , Solar na hata Geothermal ambayo hatujaanza hata kuitumiaUmeme wa Maji sio reliable kusema eti isije kutokea..
China kwenyewe kuna mgao wa Umeme sababu ya Ukame,kusema eti isije kutokea ni kitu haiwezekani hususani kipindi cha Ukame mkali..
Mkuu vitu vingine tusiwe tunalaumu tu,nadhani marais wote wa nchi za jumuia ya madola wamealikwa hukoHuyu rais kbla hajaenda kenya kuhudhuria uapisho wa ruto, nilitaka kuandika humu akitoka kenya ataenda UK kwenye mazishi. Ase kaenda kweli bana 😂
Hivi route ya drc ilishaanzaga?Mdogo mdogo tutafika in next 2 years ..
ATC itakuwa inaenda ..London na Bangkok na hata Paris /Amsterdam zinaweza kujaView attachment 2360388
Uzuri huyo ni taahira na wote humu kwa umoja wetu Watanzania kwa wakenya tumeshampuuzia, unajadili vipi issue nzito na kilaza asiejua hata kuinsert pictures na miaka yote aliyokaa jf?Watu humu, akina Sama boy 255 chongchung na fake Bond 07
Strabag walikua poa sana nilishangaa njia ya mbagala kupewa mchina while strabag alifanya vizuri moro roadZa world Bank walipewa strabag , bado world Bank wamefinance. Pia kuna phase iko financed na France , sidhani kama kampuni za France zitapewa hiyo tender?
Nimekuuliza swali. 21+19 umetoa wapi?Morogoro Road unajua ilipoanzia na 3x3 ..imeanza posta
Boss, ndio hii dualed section ya Morogoro road kutoka Citymall inapoanzia hadi kibaha inapoishia na ni 32km. Wewe hizo 21+19 unatoa wapi?Morogoro Road unajua ilipoanzia na 3x3 ..imeanza posta
Ipo Lubumbashi 4x a week ..ila mwakani wataanza kinshasa na GomaHivi route ya drc ilishaanzaga?
Binafsi wasi wasi ulianza pale marope alipokuja na negative kuhusu ule mradi,ila watu walipopaza sauti akanyuti ila true color yake alishaionyesha mwanzoni tu alipoingia wizaraniJnhpp itaisha na mambo yataendelea vilevile tu, kama gharama zitashuka ni kdg sn, tutaambiwa kina kimeshuka cjui nini nini na kila kitu. Hii nchi inabidi wananchi tufanye jambo.
Kama ni kipindi cha ukame mkali hyo itakuwa kweli..maana hata wananchu tutashuudia huo ukame ..ila pia JNHPP inabidi iwe na reserve za kutosha za majiJnhpp itaisha na mambo yataendelea vilevile tu, kama gharama zitashuka ni kdg sn, tutaambiwa kina kimeshuka cjui nini nini na kila kitu. Hii nchi inabidi wananchi tufanye jambo.
Kumbe huwa mnapinga kelele na kumbe Kenya imewaacha mbali in terms of tourism earnings 🤣😂This year we are likely to hit 2million tourist maana kuna peak nyingine inaanza october mpaka Janurary 2023
from Jan 22 to Aug 22 1.2million ..earning 1.9bil usd View attachment 2360405
🤣🤣🤣🤣 bangi ni mbayaWacha kuongoa uongo we falamanga, how many km of dual carriage ways do you guys have .? Tuanzie hapo kwanza ... DAR ni Zaid ya Nairobi likija suala la dual carriage ways..
Different area though
January to August $2 bln, September to December is not covered! There has never been a time in recent years (past 15 years) Kunyaland has beaten us in tourism revenues!Kumbe huwa mnapinga kelele na kumbe Kenya imewaacha mbali in terms of tourism earnings 🤣😂