Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣, Dah, Moshi town ni winner kwa hii battle
Umekosa jibu kwa Kisumu kutoka Mwanza, Arusha na Moshi combined kujibu what I posted.., kwa maneno hujambo Mr. domo domo, nitaendelea kukunyonga hadi unyooke😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umekosa jibu kwa Kisumu kutoka Mwanza, Arusha na Moshi combined kujibu what I posted.., kwa maneno hujambo Mr. domo domo, nitaendelea kukunyonga hadi unyooke😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Utahangaika kuongea vitu vingi, Kisumu league yake ni Moshi town.. hutaki meza visu
 
Thika town..., yaani muonekano wa miji za Kenya ni tofauti sana na za bongo..., defined by class and status!
1663226514363.png

1663226531896.png

1663226543636.png

1663226557003.png

1663226575239.png

1663226628035.png

1663226738333.png

1663226751562.png

1663226882585.png

Makazi ya kawaida has almost same looks.., hapa Thika hakuna tofaui na za Kisumu, Nakuru, Machakos ama Eldoret, na kwingineko..,
1663226800960.png
 
Jibu so hili au .? 👇. 🤣🤣🤣

Sawa narudia tena swali: kwa hiyo clip nionyeshe haya 👇 👇 maeneo?.., na pia toa jibu kutoka Mwanza, Arusha, Moshi na Dodoma combined, mimi sina haraka.., nangoja tu ata kama itakuchukua miaka kumi.,😝😝😂😂😂😂😂😂😂😂
1663228228318.png

1663228241424.png

1663228136088.png

1663228263235.png

1663228148529.png

1663228159951.png

1663228170955.png

1663228275650.png
 
Sawa narudia tena swali: kwa hiyo clip nionyeshe haya 👇 👇 maeneo?.., na pia toa jibu kutoka Mwanza, Arusha, Moshi na Dodoma combined, mimi sina haraka.., nangoja tu ata kama itakuchukua miaka kumi.,😝😝😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2357705
View attachment 2357706
View attachment 2357701
View attachment 2357707
View attachment 2357702
View attachment 2357703
View attachment 2357704
View attachment 2357708
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake... Moshi town ni zaidi ya Kisumu ...
 
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake... Moshi town ni zaidi ya Kisumu ...
Umepata jibu??? Bado sioni chochote?.., 🤣🤣🤣🤣 utalilia kwa choo raundi hii🤣🤣🤣😂😂😜😜😜 ukipata jibu post evidence Kisha nitag., usipoteze mda.,
 
Umepata jibu??? Bado sioni chochote?.., 🤣🤣🤣🤣 utalilia kwa choo raundi hii🤣🤣🤣😂😂😜😜😜 ukipata jibu post evidence Kisha nitag., usipoteze mda.,
Unajisemesha na battle ilishaisha mkuu
 
Back
Top Bottom