dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
ona hapa.. nakuru ni kubwa kuliko mwanza.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umedakwa mzee. hauna jinsi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 I can assure you, achana na Tz nzima, hakuna mji hata mmoja kulingana na namba iwe mji 1,23.... ambao unawezana mguu kwa mguu na ukubwa wa miji ya Tz (Dar alone is Three times larger to NAIROBI) tena likija suala la kujenga nyumba mpya 🤣🤣 haujawahi jiuliza kwanini miji yetu Iko na population kubwa.? It's becoz of the number of houses.. na wala hatuishi kwenye mabati sisi kama huko kwenu
Usipoteze mda kwa watu wenye akili mgando,mtu anakuletea ghorofa Je,kila mtu aseme azilete hapa kutatosha,Na hz ni moja kati ya maelfu ya nyumba mpya zilizojengwa Dar recently, don't forget kwamba Dar is ahead ka Nairobi interms of real estate price according to WB.View attachment 2352317View attachment 2352323View attachment 2352329View attachment 2352330
Hapo ndipo fikra za ubongo wako zilipo ishia,This is River Estate. It will have 1,632 houses enclosed in a 12 towers of 34 floors each.
View attachment 2352264View attachment 2352265
Ngara City Estate loading................NAIROBI haiwezani na DODOMA likija suala la nyumba mpya, usiniletee utani, I'm serious
Ukubwa wa Dar na upana ni hapa👇na majengo kwa wingi ni haya👇 kwa ajili ya population kubwa wala hakuna lingine Mwanza vile vile na kwingineko 👇 👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 I can assure you, achana na Tz nzima, hakuna mji hata mmoja kulingana na namba iwe mji 1,23.... ambao unawezana mguu kwa mguu na ukubwa wa miji ya Tz (Dar alone is Three times larger to NAIROBI) tena likija suala la kujenga nyumba mpya 🤣🤣 haujawahi jiuliza kwanini miji yetu Iko na population kubwa.? It's becoz of the number of houses.. na wala hatuishi kwenye mabati sisi kama huko kwenu
Squatters paradise 90% hawana title deed. Ndio maana wamejenga bila mpangilio.Ukubwa wa Dar na upana ni hapa👇na majengo kwa wingi ni haya👇 kwa ajili ya population kubwa wala hakuna lingine Mwanza vile vile na kwingineko 👇 👇
View attachment 2352377
View attachment 2352378
View attachment 2352380
View attachment 2352381
View attachment 2352382
Sehemu ndogo sana ndio iko developed, town area Mombasa is bigger, tofauti ni gorofa ndefu tu chache.., huu ukweli ni mchungu!😂😂😂😂😂😂😂😂😂,
View attachment 2352376
Save these screenshots for me. We shall use them any time they come up with that tired real estate valuation from 2017 that they are always sharing.Which statistics do you want when it's well clear Nairobi alone built 16 times the number of new houses constructed in entire Tanzania?
View attachment 2350895
View attachment 2350896
I know Dar, though toka zamani, but even as at 2022 nothing much ime change when I observe from google earth, infact ina worsen!.., poor looking housing, Mombasa beats Dar in that sector.., tofauti ni ni chache, Dar has some few things zenye Mombasa haina and vice versa.., Nairobi sio league ya Dar, it's way ahead!Squatters paradise 90% hawana title deed. Ndio maana wamejenga bila mpangilio.
Kuna tofauti ya kula ugali na kutegemea ugali. Anyone with a brain can tell that.....................alafu nakumbuka tupokataa kununua grains zenu mlipiga kelele sana yet humu mnajichocha eti ooh grains zenu ndio tunategemea. Haya, wacha muweke ban tuone nani atablink. So far kelele kinapigwa huko kwenu. Mkenya wa kawaida hayuko aware hata eti Tanzania imeban kuexport mahindi.Not really, Mtu mwenye pesa hawezi kuwa dependent kwenye ugali, that’s a typical poverty manifestation.
Sadly, it’s only Grains from Tz that you guys can afford,. Poleni.
A reason unaona vilio kila pembe ya Kenya .
We do not rely on importation. We import 21% of the maize we consume and produce 79%. That's a far cry from 'relying'.Imagine you rely on importation of your staple food, what a failed state.
tukizuia mahindi yetu yasije Huko it’s a nationwide crisis. Hahaha
Kibera population 500k - 1MUkubwa wa Dar na upana ni hapa[emoji116]na majengo kwa wingi ni haya[emoji116] kwa ajili ya population kubwa wala hakuna lingine Mwanza vile vile na kwingineko [emoji116] [emoji116]
View attachment 2352377
View attachment 2352378
View attachment 2352380
View attachment 2352381
View attachment 2352382
Sehemu ndogo sana ndio iko developed, town area Mombasa is bigger, tofauti ni gorofa ndefu tu chache.., huu ukweli ni mchungu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
View attachment 2352376
Tunajua kutofautisha propaganda na data ya census by govt of Kenya.., mtabakia na maneno sisi tutawapea evidence.., hadi satellite views, leo hii hamtudanganyi kamwe, nimewaanika peupe., so relax na uvumilie kwa vile ukweli mchungu.Kibera population 500k - 1M
Kibera (Kinubi: Forest or Jungle[1]) is a division of Nairobi Area, Kenya, and neighbourhood of the city of Nairobi, 6.6 kilometres (4.1 mi) from the city centre.[2] Kibera is the largest slum in Nairobi, and the largest urban slum in Africa.The 2009 Kenya Population and Housing Census reports Kibera's population as 170,070, contrary to previous estimates of one or two million people.Other sources suggest the total Kibera population may be 500,000 to well over 1,000,000.
Nimeona uzi ushafunguliwa kukashifu Kenya kumuomboleza siku tatu wakati kwenu mnaomboleza siku tano. Yani Wabongo kila siku wanaiwaza Kenya. 🤣 🤣 🤣Waste of space
Hizo 3500 na 1500 zimekamilika mwaka mmoja? Shida yenu hesabu na statistics huwa zimewapiga chenga.I'm 100% sure NAIROBI can't compete DODOMA likija suala la nyumba mpya .. ngoja nikupe kwa mfano.. miradi miwili pekee ndani ya DODOMA ya NHC 1500 houses, Miradi ya Watumishi housing 3500 houses , wachana na miradi ya serikali na individuals wenye ndio Wanajenga miji yao.🤣🤣🤣🤣 Tumia akili usitumie makalio