Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DAR
1200px-Tanzania_National_Main_Stadium_Aerial.jpg
WhatsApp-Image-2020-10-23-at-12.05.44.jpeg
1*D8uskEt8lc3GQQARxY2oSQ@2x.jpeg
MMG_9300+2.JPG
vs
Et8X2hXXYAYMC7r.jpg
DEhABR6XsAAbkC_.jpg
🤣🤣🤣ona hiyo facility yao kwanza ilivyokaa kishamba, ona vile jamaa wanakalia concrete 🤣🤣.. Alaf we Simba 254 utasemaje eti DAR hakuna kitu cha ku show kando ya BRT..
 
Kwamba mlijenga 16 times kwa Tz .? 🤣🤣 We unajua Dar alone kila mwaka zinajengwa nyumba ngapi.? Au Unazungumzia kujenga nini yani.?
Kwani unajua kuliko serikali yenu?😂😂😂 Tanzania nzima mnajenga TU nyumba 1,500 kwa mwaka wakati Nairobi pekee inajenga nyumba 16,000.
 
au kama vip, ni mizuqa.!🔥 smile sana babake.. kilakitu mwakemwake...

this is just, but a reminder of april..

see it once more👇🏽

Screenshot_20220910-055618_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055644_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055706_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055732_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055747_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055805_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055832_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055850_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055920_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055942_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-055957_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060015_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060045_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060103_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060127_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060141_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060201_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060228_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060311_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060335_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060412_Chrome.jpg
Screenshot_20220910-060541_Chrome.jpg
 
kulingana na censor ya hivi majuzi kule tanzania, kumbe tulikua sahihi. kweli idadi yao ilikua 64M, ilhali kenya ni 54M, na uganda 46M 🤔🤔

tanzania
Screenshot_20220910-063643_Chrome.jpg




kenya
Screenshot_20220910-062921_Chrome.jpg






uganda
Screenshot_20220910-063836_Chrome.jpg
 
kulingana na censor ya hivi majuzi kule tanzania, kumbe tulikua sahihi. kweli idadi yao ni 64M, ilhali kenya ni 54M, na uganda 46M

tanzaniaView attachment 2352005



kenyaView attachment 2352000





ugandaView attachment 2352004
Kiuhalisia kama sisi tupo mil 64 nyie ilibidi muwe mil 32. Sasa ukichukua mil 54 ambayo ndiyo namba mliyoko (makadirio ya chini) ukitoa mil 32 unapata tofauti ya mil 22, kwa hesabu hizo ni kwamba mmetuzidi watu mil 22 na kiuhalisia hamko mil 54, kwa jinsi mnavyozaana mpo zaidi ya mil 60 ndio maana chakula hakiwatoshi licha ya misaada mnayopata pamoja na sisi kuwapa chakula cha bei nafuu sawa na bure
 
Back
Top Bottom