Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa inashinda Dar ikija makazi standard ya raiya wa kawaida kwa wingi na upana nje ya CBD., mwenye kupinga na adhibitishe with google earth plus pictorial evidence..,

Mombasa outside CBD: Kiembeni
View attachment 2352396
View attachment 2352397
View attachment 2352390
View attachment 2352391
View attachment 2352393
View attachment 2352392

View attachment 2352398
View attachment 2352400
Dah aisee, huu ukapurwa hata Singida hamuwafikii, hivi ni akili gani inakufanya uoni hii ni sense?
 
Dah aisee, huu ukapurwa hata Singida hamuwafikii, hivi ni akili gani inakufanya uoni hii ni sense?
Kwa mfano angalia hii unaweza sema ni Torabora.
image_downloader_1662806302647.jpg
image_downloader_1662806221296.jpg
image_downloader_1662806251538.jpg
 
Mngetumia nusu ya hii nguvu kwenye kuondoa slums Mombasa mngefika mbali sana 😂😂😂😂😂

Unafikiri Mombasa itapata kwa kupost these shits kila second? Unamlazimisha nani aamini kwamba Mombasa ni bora? Kama ni Watanzania umefeli sababu hakuna asieijua Mombasa ilivyo choo, mlikuja na energy hii hii kwa Kisumu eti ni bora kuliko Moshi mkaachoka wenyewe sasa mnaipigia campaign Mombasa majalalani 😂😂😂😂😂
 
Mngetumia nusu ya hii nguvu kwenye kuondoa slums Mombasa mngefika mbali sana

Unafikiri Mombasa itapata kwa kupost these shits kila second? Unamlazimisha nani aamini kwamba Mombasa ni bora? Kama ni Watanzania umefeli sababu hakuna asieijua Mombasa ilivyo choo, mlikuja na energy hii hii kwa Kisumu eti ni bora kuliko Moshi mkaachoka wenyewe sasa mnaipigia campaign Mombasa majalalani
Kila siku anapost picha moja ya Mombasa anazani ataongopa humu
 
Tony aliwahi kusema ipo siku ataanika uozo wa Kenya ambao hata cc humu hatujawahi kuuona, waliogopa wakamuacha kabisa.

Next is Huruma slum .........

Ujue sisi waafrika mda mwingine tuna mambo ya ajabu sana,umaskini siyo mzuri

Yaani maskini anamtunishia msuli maskini mwenzake.

Na mwisho wa point wanaishia kujipotosha tu
 
Hauna lolote kabisaa kujibu, potelea mbali na vipicha vya zamani umeokota google,mwehu wewe,
am so sorry rafiki nilikuwa sifahamu hilo;nitaclear vyote vilivyokuwa posted ila utanikumbusha

4.HURUMA SLUM
According to the 2019 census, Huruma sub-location covers an area of 0.7 sq.km and has a population of 75,498 persons, generating a density of 106,445 persons per sq.km.1 Feb 2020
download.jpeg
download (1).jpeg
images.jpeg
images (1).jpeg
download (2).jpeg
images (2).jpeg
images (3).jpeg
images (4).jpeg
download (3).jpeg
download (4).jpeg
download (5).jpeg
 
Mpya hii hapa, over 40% of Kenyans live in extreme poverty but only 20% of Tanzanians live in extreme poverty nani mwenye afadhali hapo according to World Bank

View attachment 2352459View attachment 2352462
Hiyo ni WB, ya kwao hii hapa na ndio ukweli mchungu, zaidi ya 67% ya wakunya ni mafukara wa kutupwa 😂😂😂😂

IMG_1084.jpg
 
Sasa huu ushuzi utaufananisha na nini zaidi ya wenyewe? 😂😂😂😂😂

Before I thought Kibera was ugly.
This must be Cairo if I am not wrong. It is way better than Dar is a slum where 90% of the city is unplanned and occupied by squatters.
 
Back
Top Bottom