Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

WAKENYA MNAKULA MAINDI TYU AKUNA VYAKULA VINGINE.. USIKOROMEE WATU WANAO KULISHA UTAKUFA... SUPER POWER UKU njaa
Yaani Wakunya wanatutegemea kwa kila kitu, wana bahari, mito, maziwa lakini bado wanategemea samaki kutoka Tanzania

 
Yaani picha ni mbovu, nikizivuta kwa karibu pako sawa, huwezi linganisha na huu uchafu bana.., kwakweli nyie ufukara ni jina la kati na la mwisho.., haufichiki!!.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚





World bank hawakukosea walipowataja baadhi ya mataifa tano zenye watu wengi masikini wa kutupwa Afrika, linaonekana wazi wazi, nikama muharo, huwezi kufungiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mzee point ni kwamba hizo ni block house sio tope na shacks kama zenu, mbona wewe kichwa ngumu kama mawe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu ni mamilioni ya haya nyumba kwa jiji lote, mko hovyo sana kwa wingi na upana, wacha tubaki na slums zetu in secluded places, hizi zenyu hazina mpaka, zimemwagika jiji nzimaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Juzi tu wakifanya sensa yao[emoji23]
Alafu watakuambia hiyo sio slum πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , CCM ilaaniwe kabisa! umewadanganya watanzania eti wako vizuri, kwao hakuna slums, ni nyumba tu hazina mpangilio, lakini ukiziangalia kwa ground balaa!1 Dar is slum dwellers are the definition of poverty in a big way! kama raiya wa kawaida ndio wanaishi hizi standards hovyo zilizo tapakaa kote koteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
farm produce tu ndio mnauza kwa wingi, not reliable in the long run.., Ruto might end that for u, poleni.

I see your optimism with that Ruto guy is far beyond. (It May end in tears )
 
Mitaani Dar is slum.., ground ya uswazi ilivyo...,










 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…