Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo tumekubaliana Dar hakuna nyumba za tope wala bati kama Nairobi, Mombasa na mashoga zake eti? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimekupa week nzima unitafutie nyumba za aina hiyo Dar lakini umekosa kabisa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa Nairobi na Mombasa zinabaki kuwa miji yenye nyumba nyingi za tope kuwahi kuwako duniani, ni aibu kubwa kwa EA, mnatutia aibu na ufukara wenu
 
Mimi nataka u post wide angle view, yenye ina cover Nairobi sehemu kubwa kama satellite images tulinganishe kiwango ya hizo nyumba na yale standard kwa jiji lote tuone kama itafanana kama Dar ilivyo chakavu.., just do that please dunia ione mbivu na mbinchi, ulianzisha mwenyewe baada ya kuumizwa na Mombasa kisa jibu hauna, so maliza mchezo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
KUNA WATU WANAKUFA ASE HAHAHAHAAAA SIE ATUPO SARE NAO
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa wapumbavu wanajaribu kila namna tutoke droo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaforce kingi
 
Mbona zipo za kumwaga tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
IYO NI TAKATAKA LAND FYI FYI
Nairobi ni takataka mkuu, wanapost viji estates uchwara wanamoishi chini ya 5% ya wanaipori wanajisahaulisha uhalisia wa uharo uliowazunguka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
WAKENYA MNAKULA MAINDI TYU AKUNA VYAKULA VINGINE.. USIKOROMEE WATU WANAO KULISHA UTAKUFA... SUPER POWER UKU njaa
Hii habari natheni wakunyani awaoni cjui au ndio masuala ya uoni hafifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…