Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Middle class ya Dar. ...si huwa mnasema hamna slums
9587c4c8bc2eebfa8d3114b624eac725.jpg
9ffd105d0ef075c54005a57b83f324ea.jpg
3474a059931c40d1e4a6ebe795adfea0.jpg
 
kuuliza tu naona stage ya BRT hapo....nani ana picha ya hiyo stage kwa karibu hiyo kwa hiyo mtaa ya "dreamhouses ".....Hahaha
 
hatujakaa lolote..the only difference boom yenu ilianza mapema na imeisha tukiwa still tuko sawa..tukimaliza zetu mtaingia wapi??? unless muanze boom ingine saa ii
Mmekaa wacha utani...,Hadi mmalize nyumba zenu ndio mtufate hapa
 
Sgr yetu ikiisha sijui mtaficha wapi uso nyie

Itakua nzuri kama zile za S.A. na morroco

Highway dar chalinze tender inatangazwa mwezi ujao...

Itakua 100 km Ni mara mbili ya thika highway...
Three yrs to came lazima mtatii kwenye izo idara
 
Back
Top Bottom