Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

15803526_225291447922454_2581897668477321216_n.jpg
 
ndio maana nyuki hawakosekani CBD,mnaishi karibu na mbuga ya wanyama.

You argue like a toddler why lie.... Just listen to yourself. Even a fool when (s)he keeps quiet, (s) he is deemed to be intelligent... Vitu vingine unanyamaza......
 
You argue like a toddler why lie.... Just listen to yourself. Even a fool when (s)he keeps quiet, (s) he is deemed to be intelligent... Vitu vingine unanyamaza......
wewe ni mjinga sana....sasa unakasirika nini?....kwani ni suala la uongo kuwa nyuki hawakushambulia watu CBD?.
 
safi sana...naona mmeamua kumuiga ichoboy kwa kuweka render na picha halisi ya jengo...fanyeni hivo pia na kwa pinnacle tower....tuwekeeni hata picha za mafundi wa pinnacle wakiwa site.
BTW...mbona naona kama kuna shimo?.
hua zinageuka kua white elephant😀😀😀😀😀
 
Sgr yetu ikiisha sijui mtaficha wapi uso nyie

Itakua nzuri kama zile za S.A. na morroco

Highway dar chalinze tender inatangazwa mwezi ujao...

Itakua 100 km Ni mara mbili ya thika highway...
Three yrs to came lazima mtatii kwenye izo idara
kwasababu sisi tumelala tukiwangoja ama?
 
Back
Top Bottom