Huwezi elewa what middle income means sababu Tanzania doesn't have a robust middle income so siwezi kulaumuMiddle income earners in naipori πππππ
View attachment 2343865View attachment 2343866View attachment 2343868View attachment 2343869View attachment 2343870View attachment 2343871View attachment 2343872View attachment 2343873View attachment 2343874View attachment 2343875View attachment 2343876View attachment 2343877View attachment 2343878View attachment 2343879View attachment 2343880View attachment 2343881View attachment 2343882
Photos za kitambo hizi kwote kulia jengwaSasa linganisha na huu ushuzi uliotapakaa mpaka ikulu ya Mzungu aliowaachia ππππ
View attachment 2344038View attachment 2344039View attachment 2344040View attachment 2344041View attachment 2344042View attachment 2344043View attachment 2344044View attachment 2344045View attachment 2344046View attachment 2344047View attachment 2344048View attachment 2344049View attachment 2344050View attachment 2344051
Kwa roads usiji aibishe hamtuwezi hata kidogo,Tanzania rural roads
Kunyaland barabara zenu zimejengwa wapi?
View attachment 2344983View attachment 2344984View attachment 2344985View attachment 2344986
Wakati kuiona lami mpaka mje Tanzania π π πKwa roads usiji aibishe hamtuwezi hata kidogo,
Hehehe TANESCO only have 3M customers against KPLC with 8.9M. Alafu Bado wanashangaa mbona their connectivity rate is 30% while that of Kenya is above 70%.KPLC sasa ina customers 8.91m baada ya kuongeza 641,000 customers kwa mwaka moja. Tanesco bado hata haijafikisha customers 4m [emoji28]
Kenya Power adds 641,000 customers in year to June
Kenya Power had a record 8.91 million customers in June, up from 8.27 million in a similar month last yearnation.africa
Uliza hio swali ICAO wakujibuBest na Ukunya wapi na wapi?
KPLC sasa ina customers 8.91m baada ya kuongeza 641,000 customers kwa mwaka moja. Tanesco bado hata haijafikisha customers 4m [emoji28]
Kenya Power adds 641,000 customers in year to June
Kenya Power had a record 8.91 million customers in June, up from 8.27 million in a similar month last yearnation.africa
[emoji106]View attachment 2344552
Kunyan uwa wanawadanganya hao kama muziki wa Tanzania ni wa kwao,vizuri sasa hivi wengi wameanza kuujua ukweli,kunyan kila kizuri cha Tanzania lazima wajiingize kuwarepresent na wao,wajinga sanaTanzania in West Africa
Tanzania yetu ina watu wa ajabu, sasa huyu opportunity cost ameshindwa kuzielewa post zako.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] hatari nipo na Mkali opportunity tunamkubali sana Mama mpaka tumekuwa vichaa
Line ya mwisho ndio ya muhimu zaidi,Tunapinga tu tozo, ukweli zinaumiza lakini impact yake inaonekana. Siku zote mpinzani wako hawezi kukusupport anapoona unaelekea kuzuri kusiginwa lazima tu.
Uwekezaji wa hizi tozo kwenye Elimu, Afya, Maji vijijini, na barabara kupitia TARURA. Unatoa nafasi kwa serikali kuweza kuongeza ajira rasmi na zisizo rasmi, uboreshaji wa usafirishaji mazao kutoka mashambani mpaka masokoni.
Ni sehemu nyingi sana vijijini watoto wanatembea zaidi ya km 10+ kwenda na kurudi kufuata elimu. Wazazi wanajifungulia njiani kutokana na vituo vya afya kuwa mbali, na miundo mbinu mibovu.
Serikali haiwezi kumaliza investments za social amenities kwa mwaka mmoja wakati sisi wenyewe kila siku tunaongezeka.
Naamini kabisa katika madarasa 15,000 yalijengwa kwenye mwaka wa kwanza wa SSH kuna ndugu, wadogo zetu walipata ajira, hivyo katika vituo vya afya vilivyojengwa kwenye mwaka wa kwanza wa SSH kuna watanzania wenzetu wamepata ajira za kudumu.
Maendeleo yoyote yana maumivu hatuwezi kuona leo, kuondoa tozo kabisa tutarudi nyuma tena na tutazikumbuka tena tozo.
Ila kuonyesha inaguswa na kuheshimu tozo, serikali ipunguze na iondoe matumizi ya Magari ya kifahari kwa baadhi ya watumishi wake kabisa labda wale wa mikopo kama wabunge.
Hahahahhh π€£π€£View attachment 2344852
Tujitahidi jamani ukienda hospitali unaumwa Tumbo siku nyingine ubadilishe uwe na malaria tusije ongezewa tozoππ