chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,124
Milimani Villas Dar
For the first time here, exclusively
For the first time here, exclusively
Hapa nilijua tutawanyonga, ata waende kwa moon ama mbinguni na warudi, jibu hawapati ng'o, ufukara ni kama kikohozi Tanzania haufichiki, iwe Dar, Mwanza, Arusha etc, niko na youtube clip ya Arusha tour mitaani najua ni kwa nini hawaleti picha za mitaa ya kawaida, kiburi kikiwazidi I will drop them here one after the other, watakoma 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Saa hii kazi ni kupost mahoteli tu😂😂, I wonder if watu wote Arusha are staying in hotels😂😂😂
Wekeni picha domo domo za niniKabisa yaani jamaa wanazingua wanakosea sana Chuga,sijui ni wakaskazini maana hiyo comparison ameishikilia bango mda mrefu mpaka imekuwa boared kututoa kwenye title ya uzi,
Regardless, ukweli unabakia pale pale.,Ulivyo tu utazeeka mapema na kufa hiyo 20+yrs unaweza usifike
Hii ndo Migos?Nimengoja jibu kutoka Mwanza na Arusha? wewe uko na jibu?..,
Kisumu
Picha zote ulizotoa znatoka kweny hcho kimtaa cha Lolwe hko mwingine ni mabati na mashamba tu.Nimengoja jibu kutoka Mwanza na Arusha? wewe uko na jibu?..,

Which proves me right.., yaani ata hii👇👇 google earth image inaonyesha Lolwe, yenye umeikata kwa vile inaendelea all the way beyond the left frame ya image towards Mamboleo, naona a section of Migosi on your right, yaani yote ni sehemu tu ndani ya "Eastlands" ya Kisumu.., mimi nataka ya Mwanza na Arusha, Kisumu isikusumbue, mbona ni ngumu kwenu kujibu swali rahisi? kama haipo just say haipo and we move on hamtakufa, kukubali ukweli ndio tatizo kwenu😂😂😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 😂
Sasa unadanganya wewe..., google earth iko mbona uwandike kwa mate ilhali wino upo? ama unatumia google kimandazi bila kudhibitisha na google earth..., mimi nataka wewe ulete jibu kutoka Mwanza ama Arusha, unayo?..., rahisi tu, usikwepe na vijisababu...., nangoja, kuna jibu?Picha zote ulizotoa znatoka kweny hcho kimtaa cha Lolwe hko mwingine ni mabati na mashamba tu.
Sas tukizitoa mlimani, Dunga, na kanyakwar na baadh ya vijisehemu vichache ndo tunaingia ulimwengu wa SLUMS rasmi![]()
Waambie Walete areal Shot ya Arusha ama Mwanza Suburbs, kama hii hapa ya Kisumu.Milimani..,
View attachment 2339531
Lolwe.., hii pekee haina jibu Mwanza wala Arusha.., tangu jana sijapata jibu., ni Kiswahili na vipicha hapa na pale.,
View attachment 2339532



. They can Never show an areal Shot of Arusha or Mwanza outside CBD 

. Oops hiz villas nilikua nahangaika kupata picha zake nitupie humu 💥Milimani Villas Dar
For the first time here, exclusively
View attachment 2339584View attachment 2339585View attachment 2339586View attachment 2339587
Zipo za, kutosha ngoja nitakufungulia mikoba 😂😂😂Oops hiz villas nilikua nahangaika kupata picha zake nitupie humu 💥
Kwa sabab hata hii yenyew yakawaida Sana kwa ground, hzo rangi rangi zisikuchanganyeWhich proves me right.., yaani ata hiigoogle earth image inaonyesha Lolwe, yenye umeikata kwa vile inaendelea all the way beyond the left frame ya image towards Mamboleo, naona a section of Migosi on your right, yaani yote ni sehemu tu ndani ya "Eastlands" ya Kisumu.., mimi nataka ya Mwanza na Arusha, Kisumu isikusumbue, mbona ni ngumu kwenu kujibu swali rahisi? kama haipo just say haipo and we move on hamtakufa, kukubali ukweli ndio tatizo kwenu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2339608

Watoe wapi standard housing in one place kwa mpigo hivyo?.., zao ni hizi types in both Arusha and Mwanza.., nyumba za watu wa kawaida(not slums in Tanzanian standards), uswahili itauwa watanzania 😂 😂 😂 😂Waambie Walete areal Shot ya Arusha ama Mwanza Suburbs, kama hii hapa ya Kisumu.. They can Never show an areal Shot of Arusha or Mwanza outside CBD
. View attachment 2339619
Tumegoma kuzalilisha EA's tourism capital na ujinga unaoitwa kisumu.. hiyo discussion ni aibu tu.. tumeishia hapo.. mkitaka battle za mji wenu tuna Moshi town is there to compete Kisumu not otherwise..Sasa unadanganya wewe..., google earth iko mbona uwandike kwa mate ilhali wino upo? ama unatumia google kimandazi bila kudhibitisha na google earth..., mimi nataka wewe ulete jibu kutoka Mwanza ama Arusha, unayo?..., rahisi tu, usikwepe na vijisababu...., nangoja, kuna jibu?