The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Wangeupiga kama wasingestukiwa..Tulia wewe wacha watu waupige mwingi mbele ya mama yetu mpendwa Samia,pesa zipo na miradi itakamilika,
Hapo zimetumika tofali zilizojaa cement na siyo ambazo zimejaa mchanga lazima gharama ya tofali iwe ya juu
Pili mimi naamini huenda ni kweli hicho kibanda kikawa na hiyo cost kwa sababu gharama za vifaa vya ujenzi zimepanda na pia wanaopanga mradi wa kuzinduliwa na Mwenge ni wao so wasingeweza kupeleka maofisa wa Mwenge kwenye mradi wa upigaji..
Ndio maana nimesema wa stick kwenye BOQ vinginevyo ni mihemko isiyo na tija.