Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

u-DC unanukia!
Ndiyo kilichobaki, kuwa wanaafki ili wapate cheo, katafuta vijana wasiojitambua wawili watatu kawapa elfu 50 ili wakubali upumbavu wakati yeye kapewa milioni kadhaa na Mwigulu, Africa bhn njaa na ulafi vinatusumbua, tena niseme tu ni ulafi wala sio njaa.
 
Alikua anachekelea sana walivyoongezewa mshahara sasa kiko wapi maishaa yanazidi kupaa tuu saivi wanakatwa mara mbili mbili kwenye huo mshahara hela inarudi kule kule kwa wajanja wanaoenda kununua gari la milioni 500
Niliwahi kusema hapa kwamba tatizo la mama hana anachojua maskini ya Mungu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani aishie kwenye GDP
 
Alikua anachekelea sana walivyoongezewa mshahara sasa kiko wapi maishaa yanazidi kupaa tuu saivi wanakatwa mara mbili mbili kwenye huo mshahara hela inarudi kule kule kwa wajanja wanaoenda kununua gari la milioni 500
Sahv roho yako nyeupee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…