The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Mazqazwa Mnahangaika bure na uzwazwa wenu..Kamwe hamtakaa mpate official credential zangu Wala picha..hizaapo tundu mbili za mapua ya local mmoja
Hapa umejiangusha bro, is like you don't know what religion is.Hizo zote hazikua dini Bali ni mila na desturi and after all baada ya ujuio wa watu weupe walileta ustaarabu (dini) tukaachana na kukeketana, kuabudu mibuyu, nyoka na miupuuzi mingine, tuliyokua tumeyapatia majina "MIUNGU".. so kwasasa tuna dini and if u ar against it wewe ni sawa a makenge, mijusi na wadudu wengine
Are you sure you studied religion in one point of your life?Huu ujinga ulioandika hapa inaonyesha wazi hujasoma dini kabisa na wala hujui history..
Dini sio tamaduni, na dini hazipo kwaajili ya watu wa ukanda flani..
Imani zote za kiislamu na kikristo zinaamini katika Ibrahim/Abraham
And the man was from today's Iraq, and he later migrated to today's Israel (in the land Palestine) yote hii ni middle East .
Hizo claims zako za civilization zimetokana na ukanda ulitoa wapi.! 🤣
Mambo za ukoloni ni kitu kingine kabisa, hizina uhusiano wowote na dini.. Waarabu walifika pwani ya Africa mashariki tangu karne ya 14
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hizaapo tundu mbili za mapua ya local mmoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama sio Mwalimu ni mtendaji wa kata aliepugwa na Magu sababu ya vyeti fake
Umeenda hadi Guangzhou ?we jamaa uko desperate sanaGuangzhou China, the 5th [emoji116]View attachment 2342537View attachment 2342539View attachment 2342541View attachment 2342542View attachment 2342543View attachment 2342544View attachment 2342545View attachment 2342546View attachment 2342547View attachment 2342548View attachment 2342549View attachment 2342550View attachment 2342551View attachment 2342553there is no single American City which can at least compete Guangzhou.. not even New York.. tuusan. Miji ya China ni kitu kingine mzee
Hii ni Hong Kong lakini sitaki tubishane mana ushaandaa desa lakoNot to mention this.. Yo this city has many buildings with over 40 floors (150+ m) than New York+Chicago+Miami+Hoston [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeah this is Hongkong 546 skyscrapers in One cityView attachment 2342650View attachment 2342651View attachment 2342652View attachment 2342653View attachment 2342654View attachment 2342655View attachment 2342656View attachment 2342659View attachment 2342660wachina wanaishi kwenye dunia yao bwana tuusan. Utaleta nini from US in comparison.?
Alafu uache tabia ya ujiwe,huwezi kujua kila kitu na unapopewa darasa uache kua mkali,nn unamshambulia walker255 kisa amekueleza mambo ya kweli?Mnazingua na hayo mambo ya dini.
Hawa wakoloni hawakuwapa elimu nzuri miaka hiyo, waliwatesa mababu zetu mfano utumwa, hawakutoa huduma nzuri za afya kipindi cha ukoloni, ubaguzi wa rangi.
Sasa nini kinatufanya tuamini hizi dini walizotuletea kuwa ni bora!
Waoooo very goodGive Naivas two years and it's worth is going to reach $1B.
Huyo jamaa huwaga pungufuAcha mihemuko boya wewe, sijaquote wala kushambulia ID yoyote.
Ilileta nini?
Mkandarasi ashakabidhiwa site
We nawe sindio wale wa div4?Huyo jamaa huwaga pungufu
Hata Mimi ninashangaa kuona waafrika tena wasomi wakitetea dini za kigeniMnazingua na hayo mambo ya dini.
Hawa wakoloni hawakuwapa elimu nzuri miaka hiyo, waliwatesa mababu zetu mfano utumwa, hawakutoa huduma nzuri za afya kipindi cha ukoloni, ubaguzi wa rangi.
Sasa nini kinatufanya tuamini hizi dini walizotuletea kuwa ni bora!
Truth that is always swept under the carpet..., atrocities committed during the dark ages were orchestrated by the Catholic church, infact history has it that the catholic church has killed more people than terrorism, war and other pestilences combined.The Catholic Church is the biggest joke I know. They think they can turn anyone into a saint; a religious organization known for oppression, murder, violence, sexual abuse, and theft?