Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi kesi bhana wewe..
Uislamu ndio umeletwa na waarabu ila sio kila Mwarabu ni muislamu alkadhalika na ukristo, kwahyo walioeneza dini walifanya hivyo na walio tunyonya pia walifanya kilichowaleta, and that's why tuko na both effects za dini pamoja na za exploitation

Kwenye masuala ya usmamizi wa sheria/watengeneza organizations katika dini, nitajibu kwa upande wa waislam pekee, kiislamu hukumu zote zitatekelezwa kwa mujibu wa kitabu kilivyoandikwa and there's no one above the law..

Mambo za Catholic church nisingependa kukujibu kiundani, sitaki kuwakwaza christians humu
 
Huna argument yoyote hapa. Unadhani kuwa Muislamu leo hii ni tunu, lakini unakataa kuyatambua mabaya yaliyofanyika hapo nyuma Kwa watu wa bara lako kwasababu y dini unayoisujudu leo. Mimi siko hapa kukukataza ku-practice dini yako, nataka uelewe kuwa dini yako haikupi haki ya kusema dini za wengine hazina legitimacy. Hata kama wanaabudu miti, bado ni dini yao!
 
Ukirejelea maana ya neno dini, then huu ulioandika hapa ni upuuzi
 
Hata US wanategemea kuagiza semi conductors toka Taiwan na Japan, China kamwe haitegemei Wala kutumia technology ya Marekani katika silaha za kivita, ilikua inatumia Russian technology hasa katika ndege za kivita, hivi Sasa wamejenga uwezo wao wa ndani, katika meli za kivita na Submarine, China ipo juu ya USA

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
The Catholic Church is the biggest joke I know. They think they can turn anyone into a saint; a religious organization known for oppression, murder, violence, sexual abuse, and theft?
Lakini Hawa watakatifu wote unaowajua na kuwakubali hivi Sasa pia walitangazwa na kanisa Hilo Hilo ambalo linatarajia kumtangaza Nyerere.

Kwasababu linamtanga Nyerere mtanzania ambaye ni adui yako unaanza kulikosoa, huo ndio wivu na roho mbaya iliyopitiliza kwa wakenya dhidi ya Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Katika hili, ninakubaliana na wewe.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
The Catholic Church is the biggest joke I know. They think they can turn anyone into a saint; a religious organization known for oppression, murder, violence, sexual abuse, and theft?
Is it about the religion or GOD ? ..man is the one who controls religion...if they are abusing it its them the institutions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…