The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
US hata mm naipenda na huwa sipendi kuona China inakaa juu ya US interms of infrastructures but facts hazipingwi mzee, hata wewe mwenyewe tukikuomba ulete infrastructures za US tulinganishe na China lazima utasanda, na ulishawahi kujaribu huko nyuma ukasanda kmy kmy mzee.Uko biased I don't like that
Nashangaa wanaomkote wkt tulishakubaliana huyo ni mwehu.Mkuu naona una free time ya kutosha wa kuongea na huyo zuzu [emoji2].. i cant even spend 1 sec [emoji23]
Achana naye chizi huyo.Niliona nimueleweshe kidogo [emoji1787][emoji1787]
Hakuna taifa la ku match China kwenye hii dunia tunayoishi Bro, na hata hao wamarekani wenyewe wanalijua hilo.. kitu pekee US Iko mbele ya China kwa sasa ni bajeti ya jeshi tu kwa mwakaHuwa wanasema sijui S. Korea ipo vzr kuliko China lkn jana nmekutana na mkorea nkamuambia Korea ipo vzr sn akasema yah iko vzr, nikamuuliza Korea na China ipi iko vzr, jamaa kwa kinywa chake akaniambia China iko vzr sn, yn mkorea mwenyewe akakataa kabisa nilipomuambia nchi yake ipo vzr kuliko China just imagine.
Mkuu hakuna nchi yoyote ya Afrika imewahi kuwa sawa na China kivyovyote vile, miaka ya 1960s tayari China ilikuwa na uwezo na teknolojia ya kuweza kutujengea reli ya viwango kutoka Tz all the way to Zambia, sasa tulikuwaje nao sawa mkuu. Hizo ni propaganda tu kiongozi.Walikuwa wenzetu wakati tunapata Uhuru, hata kama walituzidi si kwa viwango hivi lakini hata theluthi moja hatuwaingii, sijui tulikwama wapi [emoji848][emoji848][emoji848]
Umewatch episodes mbili za Charlie Chaplin leo sasa hatutapumzika😂😂Watu tupo serious wewe unaleta uchale, sawa Charlie Chaplin [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
say "closing in" not "widening"As days goes by, the gap between Mombasa and Dar keeps on widening.
View attachment 2341389View attachment 2341390View attachment 2341391
Mombasa is widening the gap. Kwani hujui Mombasa ilishapita Dar kitambo?say "closing in" not "widening"
Hizi mbio nadhan inamaanisha kisinda anarudi Yanga kutoka Berkane 😅
China ni noma mzee. I'm telling you .. last time China ilijenga Golden Gate bridge in San Francisco California .. pitia hapa 👇US hata mm naipenda na huwa sipendi kuona China inakaa juu ya US interms of infrastructures but facts hazipingwi mzee, hata wewe mwenyewe tukikuomba ulete infrastructures za US tulinganishe na China lazima utasanda, na ulishawahi kujaribu huko nyuma ukasanda kmy kmy mzee.
Hilo ni debe shinda a.k.a bungazeze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwalimu wako alipata shida sana kukuelewesha kaa na ujinga wako, hii Nchi ina watu wa hovyo sana hata uwatengenezee vipi, kwanza najisahaulisha kuwa unamapenzi nikikujibu tena niite Mbwa
A.k.A zee la upopoma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hilo ni debe shinda a.k.a bungazeze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo bei ya mtu mmoja wamepigaje wakati hawajui idadi ya watu? 🤣Sijui wenzangu mliiona hii.? 🤣🤣🤣🤣👇.
Hii Yanga ya mwaka huu wapinzani wajipange.
Those are Google ratings boss. 🤣 🤣I believe you attended classes, atleast to distinguish the two circles I made for you.
View attachment 2341386
View attachment 2341387
View attachment 2341388
kwann akiwa Mchagga?The best 007 huyu kama ni mchaga naomba pass bro[emoji2297][emoji1787][emoji1787] pisi freshView attachment 2341525