Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kisumu dala
download (26).jpeg
download (29).jpeg
Screenshot_20220617-145359_2.png
download (28).jpeg
Screenshot_20220617-145419.png
download (33).jpeg
download (36).jpeg
download (47).jpeg
download (42).jpeg
download (45).jpeg
download (53).jpeg
274796248_440101774471909_6962561801132396823_n.jpg
274828274_440101454471941_270043636132434994_n.jpg
 
Hii picha ingekuwa ni ya mji wa Kenya, tungeambiwa vile miji zetu ni chafu. But since this is Arusha and Tanzanians are the majority here, no one can mention the obvious
Tope la mvua limegeuka uchafu, unaumwa kichwa wewe
 
watanzania hii tabia ya kusema mumeigwa mtaacha lini? Juzi tu hapa mliona mmoja wenu akisema Ruto aliiga rangi za sisiemu tena leo ni hii! I have seen plate numbers of different countries having the same fonts and flags on them. Sasa nyinyi pia mliiga hizo nchi? Hii ujinga mtaacha lini?
Nani alikuambia duniani kuna jambo jipya? Unapoiga mazuri aliyoyafanya mwenzio haimaanishi kwamba hakuna mwingine aliyewahi kufanya, mazuri huigwa, ni kama mlivyojaribu kuiga BRT system ya Tz mkashindwa haimaanishi kwamba hakuna nchi yenye BRT. Unaposhindwa kubali kujifunza then move on, mna mengi ya kujifunza kutoka Tz.
 
Arusha wamepave 425Km ...
Sio mbaya Bado kazi zingine zinafanyika
Screenshot_20220830-223746_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom