Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mmeonyesha mahoteli, there's nothing like this in Arusha. Kama unapinga leta density ya residential buildings like this from Arusha.

Kisumu.

View attachment 2339145
Wakileta such from Arusha or Mwanza nahama JF leo hii., yani Tanzania ni nchi ya city moja, na CBD moja, outside is a joke, ni town and no residential to match, matajiri wachache kisha mifukara mamillioni, walikosa jibu mara wanaleta villas, mara hoteli mara posh estates, za raiya waliogopa wanajua hali yao, 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

In conclusion, Kisumu makazi ya raiya wa kawaida is even above Dar is slum makazi ya raiya.., hakuna ubishi hapa.,
1661839117544.png

1661839211146.png

1661839196676.png
 
0.5% of Dar, where is SGR, where are cable stayed bridges, where's brt, where are interchanges, where are flyovers, where are suburbs, where's airport, where are bus terminals, where is kkoo, where's masaki, where's.....
That is the 0.5% yenye iko developed, the rest 99.5% ni picha ya ufukara, yani ushuzi kote kote, ama unapinga?.., u shot yourself on the leg soldier boy 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hivi we jamaa Don YF unakuaga na akili timamu.? ULIPATA wapi kujasiri yani huu upumbavu View attachment 2339051View attachment 2339054 vs ARUSHA outside CBDView attachment 2339055Arusha's economic backbone ambapo ni hapa View attachment 2339064tafadhali sana .. omba radhi kwa watanzania wote waliopo humu ndani haraka iwezekanavyo ..
Endelea na habari nyingine mkuu,ukibishana na wapuuzi kwa kucompare Arusha na huo uchafu wao nawe unaonekana upo nao sawa pia unaishusha hadhi arusha
 
Nilichogundua wakenya wanaifosia tu Kisumu kwa Arusha, Mji kwanza Una maslum kibao na hawasemi

Hzo picha wanazoita Eastland ya Kisumu ni za kasehem kanaitwa Lolwe estate, Ni kamtaa kadogo tu dakika tano haziishi ushakamaliza
View attachment 2339515
Wewe ni kilaza kweli.., Eastlands ya Kisumu ni Lolwe, Migosi, Mambo Leo, Kibos, Carwash etc.., Lolwe iko ndani yake..,
Kwa mtazamo wako hii density yote ni hiyo Lolwe unataja?.., na hata Mambo leo iko nje, Kibos area haijaguswa.., na ujue hapa sio town(hakuna CBD), ni makazi ya raiya wa Kisumu kwa wingi.., Lolwe iko hapa chini kwa foreground..,kule mble ni Migosi na Kondele to Carwash kwa background.., Kenya sio size yenu,.., hapa sio Mombasa wala Nakuru, just imagine.,
1661840180267.png
 
View attachment 2339518
Kisumu imejengwa kweli... kusema kweli the top 3 kenyan cities after Nairobi hazina mpinzani Tanzania outside dar
 
Nilichogundua wakenya wanaifosia tu Kisumu kwa Arusha, Mji kwanza Una maslum kibao na hawasemi

Hzo picha wanazoita Eastland ya Kisumu ni za kasehem kanaitwa Lolwe estate, Ni kamtaa kadogo tu dakika tano haziishi ushakamaliza
View attachment 2339515
Nilijua Arusha na Mwanza hakuna jibu, hilo wenzenu walidhihirisha jana.., Mwanza/Arusha nilikua nimezikagua ingebidi muujiza ufanyike ndio muweze kujibu Kisumu.., hii ndio Mwanza Makazi ya raiya, ukitoa mitaa posh ya matajiri wachache...,
1661841059426.png

1661841068637.png

1661841077507.png

1661841117583.png
 
Mnadhalilisha The Safari Capital of East Africa, Hospitality Destination na Utopolo gani.
Kabisa yaani jamaa wanazingua wanakosea sana Chuga,sijui ni wakaskazini maana hiyo comparison ameishikilia bango mda mrefu mpaka imekuwa boared kututoa kwenye title ya uzi,
 
Wewe ni kilaza kweli.., Eastlands ya Kisumu ni Lolwe, Migosi, Mambo Leo, Kibos, Carwash etc.., Lolwe iko ndani yake..,
Kwa mtazamo wako hii density yote ni hiyo Lolwe unataja?.., na hata Mambo leo iko nje, Kibos area haijaguswa.., na ujue hapa sio town(hakuna CBD), ni makazi ya raiya wa Kisumu kwa wingi.., Lolwe iko hapa chini kwa foreground..,kule mble ni Migosi na Kondele to Carwash kwa background.., Kenya sio size yenu,.., hapa sio Mombasa wala Nakuru, just imagine.,
View attachment 2339518
We ndo mpuuz hzo picha unazorudia rudia niza wap? Au hukusoma nilicholiandika
Screenshot_20220830-092837.jpg
Screenshot_20220830-093236.jpg
 
Kabisa yaani jamaa wanazingua wanakosea sana Chuga,sijui ni wakaskazini maana hiyo comparison ameishikilia bango mda mrefu mpaka imekuwa boared kututoa kwenye title ya uzi,
Battle between nairobi na Dar iliisha zamani, tunangoja miaka ishirini na tano mbele, kisha tutajadiliana.., kwa sasa tunaumbua propaganda na kuweka mambo sawa.., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Battle between nairobi na Dar iliisha zanmani, tunangoja miaka ishirini na tano mbele, kisha tutajadiliana.., kwa sasa tunaumbua propaganda na kuweka mambo sawa..,
Ulivyo tu utazeeka mapema na kufa hiyo 20+yrs unaweza usifike
 
Back
Top Bottom