Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utauwa mzee wa kazi
Mm nishajuaga dawa ya Wakenya ni ground tu, akileta fyoko fyoko nampiga za chembe akigusa mbavu nafumua upper cut huoni cku hz haniiti majina ya ajabu ajabu, na akileta upuuzi namuwekea kitu kingine mana najua huyo ni fukara haniwezi lolote kwa nilipofika
 
umesha onyesha sisi uwa atufanyi kazi mara mbili ww fisi au kusoma ujui ata picha uoni
Mmeonyesha mahoteli, there's nothing like this in Arusha. Kama unapinga leta density ya residential buildings like this from Arusha.

Kisumu.

tapatalk_1558603277391.jpeg
 
Ndio uweke picha sasa ili tuone, kwn kabla ya hii battle c mlikuwa mnajiongopea kwamba ka Nairobi kanaizidi Dar, kwa sasa majibu mnayo mmemaliza mji wote wa ka Nairobi mmebaki kurudia picha za tujengo tuletule ilhali Dar bado hatujaifikia hata 40%.
Its only a tanzanian who will say dar is ahead of nai..enda kwa content creators wote huko youtube ambao sio mkenya or mtz ambae anasema dar iko juu ya nai upaste hapa
 
Mm nishajuaga dawa ya Wakenya ni ground tu, akileta fyoko fyoko nampiga za chembe akigusa mbavu nafumua upper cut huoni cku hz haniiti majina ya ajabu ajabu, na akileta upuuzi namuwekea kitu kingine mana najua huyo ni fukara haniwezi lolote kwa nilipofika
Soja leo kwani hujaingia job?
 
They guy confirmed to us that those houses were indeed hotels.

Show us residential areas like this one in Kisumu.

View attachment 2339138View attachment 2339139
🤣🤣🤣 Sina picha but hii itakufaa picha za google earth ARUSHA residential areas. njiro 👇
Screenshot_20220829-205142_1.jpg
Screenshot_20220829-205227_1.jpg

Ngaramtoni ya chini 👇
Screenshot_20220829-205300_1.jpg
Screenshot_20220829-205451_1.jpg
Screenshot_20220829-205535_1.jpg
wait hii sio Ulaya ni ARUSHA tu ndani ya bongop
 
Mm nishajuaga dawa ya Wakenya ni ground tu, akileta fyoko fyoko nampiga za chembe akigusa mbavu nafumua upper cut huoni cku hz haniiti majina ya ajabu ajabu, na akileta upuuzi namuwekea kitu kingine mana najua huyo ni fukara haniwezi lolote kwa nilipofika
Soja leo kwani hujaongia job
🤣🤣🤣 Sina picha but hii itakufaa picha za google earth ARUSHA residential areas. njiro 👇View attachment 2339140View attachment 2339141
Ngaramtoni ya chini 👇View attachment 2339142View attachment 2339144View attachment 2339146wait hii sio Ulaya ni ARUSHA tu ndani ya bongop
Why are you posting shacks?
 
Its only a tanzanian who will say dar is ahead of nai..enda kwa content creators wote huko youtube ambao sio mkenya or mtz ambae anasema dar iko juu ya nai upaste hapa
Hakuna infrastructure ipo ka Nairobi ikakosa kuwepo Dar ila kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa, chukua hiyo na uishi nayo.
 
Back
Top Bottom