Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only thing Arusha inashindia Kisumu ni mahoteli tu. Outside that sector there's nothing and that's why mlikimbia battle ya residential houses mkaanza kupost mahoteli 😂😂🤣
Hii🙄🙄🙄 we jamaa mbona una ukaidi was kipumbavu.? Bado upo tu.? 🤣🤣🤣
 
Unajua huyo ni mpumbavu sana, alitegemeaje Arusha iwe na uwanja mkubwa wakati kuna KIA ipo hapo pembeni, kutoka Arusha airport mpk KIA ukikaza unatembea kwa mguu, sasa huyo alipaswa kwanza kutupongeza kwamba Tz tuna maendeleo makubwa.
Maendeleo gani Iko kwa hii debe?😂😂🤣

images - 2022-08-29T180253.707.jpeg
 
wakenya nanyi mwatuangusha humu ndani....mnacompare aje kisumu na arusha surely?the only city yakuchukulia serious in tz ni dar tu,hizo takataka zingine sijui arusha,mwanza,,sijui gani ingine ni wazicombine ndio mzishindanishe na msa,kiusumu or nakz
 
Chukua Kisumu+Nakuru+Eldoret =ARUSHA
 
wakenya nanyi mwatuangusha humu ndani....mnacompare aje kisumu na arusha surely?the only city yakuchukulia serious in tz ni dar tu,hizo takataka zingine sijui arusha,mwanza,,sijui gani ingine ni wazicombine ndio mzishindanishe na msa,kiusumu or nakz
Ndio uweke picha sasa ili tuone, kwn kabla ya hii battle c mlikuwa mnajiongopea kwamba ka Nairobi kanaizidi Dar, kwa sasa majibu mnayo mmemaliza mji wote wa ka Nairobi mmebaki kurudia picha za tujengo tuletule ilhali Dar bado hatujaifikia hata 40%.
 
FINAL RESULTS
KISUMU 10... ARUSHA 6,
KISUMU WINS,,,[emoji322][emoji323][emoji322]
KISUMU NI NOMAAAA[emoji123][emoji123]
Kichapo mlichokula nafikiri mtahadithia kwamba Arusha ni moto wa kuotea mbali, kuna Wakunya humu walikuwa wanajifanya kusema eti Arusha ndio mji uko vzr Tz sasa leo imefaamika kwamba Arusha ndio mji uko vzr EA ukitoa Dar na pengine Dom miaka mitano ijayo, miji mingine yote EA ni disorganized na yenye ma slums everywhere.
 
Maendeleo gani Iko kwa hii debe?[emoji23][emoji23][emoji1787]

View attachment 2339112
Huo uwanja na huu wa kisumu ambao nmepost hapa chini ni sawa, ila ukae ukijua kutoka Arusha kwenda KIA unatembea kwa mguu hilo ulijue na u move on, Kisumu International Airpot [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220829-181616.jpg
Screenshot_20220829-181555.jpg
 
Huo uwanja na huu wa kisumu ambao nmepost hapa chini ni sawa, ila ukae ukijua kutoka Arusha kwenda KIA unatembea kwa mguu hilo ulijue na u move on, Kisumu International Airpot [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2339134View attachment 2339135
Kwenye mambo za airport hawa hawatuwezi 🤣🤣🤣
 
Hii[emoji849][emoji849][emoji849] we jamaa mbona una ukaidi was kipumbavu.? Bado upo tu.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ni mkunya wa kale sana, ndio wale waliaminishwa wanaizidi Tz ila baada ya kuujua ukweli anashindwa ku accept na ku move on, mzoee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom