Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hata ARUSHA ni bora kuliko kampala ... Kampala ni hovyo kabisaNeno excluding sikuwa nimeliona. Lakini bado nasimamia kwenye reasoning yako. Kampala nimewahi kufika sikuona cha ajabu pale,labda siku hizi kuwe kumebadilika ghafla.
nlisha kwambia kenya ni wazee wa uongo na blogs zao kazi kusema vitu avipo twakimu zingine ni uongo tu mtu amekaa uko ana kazi anakuja andika uchuroHivi vitu vingine kabla hujapost unatakiwa utumie common sense tu, usilazimishe vitu mzee eti kisa list imekuplace at the top, kwaakili yako timamu Kampala inaizidi DAR kwa Malls.? Usije ukadhani vitu vya malls ni vitu vya kufikirika manzee, Malls tunazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.. usiwe punguani hata unatukana watu kwa kulazimisha uongo uwe ukweli.
Safi sanaUtambulisho mpya wa mkoa wa Lindi
Serikali yenyewe haijatilia mkazo tuuKulikuwa na huo mpango sijui umefikia wapi!
Huyu mama bilionea anaemiliki smelter ya dhahabu Geita ndio alikua anaprint number plates zote Tanzania zenye logo ya masasi signs, saivi naona kiboko logo, sielewi ni mkataba umeisha au vipi!
View attachment 2335683View attachment 2335684
Ni kweli na nilishangaa sana kuwa hapo ndio makao makuu ya nchi.Hata ARUSHA ni bora kuliko kampala ... Kampala ni hovyo kabisa
Kama ingechangamka na kuirudisha ingeongeza mapato kwenye utalii maana Wajerumani wanapiga pesa ndefu kupitia hawa mijusi.Serikali yenyewe haijatilia mkazo tuu
Dah! Hivi unajua sasa hivi wachezaji wengi wanaitazama Ligi yetu kwa jicho la kifursa kupiga pesa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka huu ligi yetu ni moto [emoji91] wa kuotea mbali, wachezaji kutoka mataifa mbalimbali wamesajiliwa na bado wanaendelea kusajiliwa. Chuma kingine hicho kutoka Argentina.View attachment 2335819
Hii ndio ligi bora Afrika ukiondoa ligi ya SA, Egypt na Tunisia.Dah! Hivi unajua sasa hivi wachezaji wengi wanaitazama Ligi yetu kwa jicho la kifursa kupiga pesa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wajerumani wanafaa waturudishie mabaki ya hawa wanyama
Tunakuja vizuri sana. Tukaze tusijisahau ili tufikie namba moja Afrika.Hii ndio ligi bora Afrika ukiondoa ligi ya SA, Egypt na Tunisia.
Ni kweli mabilioni mengi yaingia kule. Tuwe wabishi tu mpaka yarudi.Watu wanaaminishwa na wanaendelea kuaminishwa kuwa hatutoweza kutunza hayo mabaki kwenye makumbusho eti ni gharama sana.
Kumbe ni propaganda tu ili aendelee kubaki kule na kuwaingizia mabilioni.
Hii 68% ni ndogo! Mtaani watu hawaipendi serikali. Mimi ambae huwa ngombana na watu mtaani kumtetea mama na serikali yake , sasa hivi naipa serikali 4/10......je hao wengine!?Wananchi jameni wanafinywa na serikali,watu hawana furaha kwakweli.View attachment 2335618
nilikwambia uyo uwa anabumba sana uongooooooooooooooooooooooooooooooooooooooOya Don YF ukitaka kujua kama hiyo article ni ya kipuuzi, kwenye hiyo article Lagos imetajwa juu ya Dar kwa malls eti 🤣🤣. Haya sasa nakupa home work.. hizi ndio malls kubwa in Lagos
1.Ikeje shopping mall
2. Mega plaza
3; The palms shopping mall
Zinatajwa kujengwa kwenye maeno makubwa ila nenda ukazione sasa he ni kubwa kweli.? Je ni classy.?
Conclusion ni kwamba non kati ya lagos na Kampala haziwez fikia league ya DSM likija suala la Malls