Usiwe mwepesi wa kukurupuka kama wenzako walivyo.., graph inasema ":excluding South African cities".., yaani wale are not ranked amongst African countries, wako stage ya juu.., sisi sio watu wa propaganda na kulazimisha eti tuonekane tuko juu kama wengi wenu mlivyo.., mko na matatizo ya inferiority complex na blind patriotism..,Aisee. Hawa jamaa wako juu vibaya mno. Huyo teargas amepata wapi hicho ki article kinachomwambia Kenya wapo juu Afrika nzima? Hata South Africa nao chali kwao?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Yaani hawa watu ni wazembe sana, yaani kufanya utafiti ya kudhibitisha mambo ni kazi ngumu kwao, kazi ni kukurupuka bila utafiti., idiots 😂 😂 😂 😂 😂
Prezzo huyu anakaa kwa mamake kujaza choo mpaka leo!Check out this throwback, chagua la teeniez awards,
Kenya had this showbiz big even back in the day
2008 chaguolateeniez
bad strategy wenye nyumba wataongeza rent and push the cost to the tenantSikizen hii, muijue serikali yenu
Sadly. Hivyo ndo serikali kuu nzima ya sasa Tanzania inavyowaza kuongeza kodi.bad strategy wenye nyumba wataongeza rent and push the cost to the tenant
[emoji23][emoji23] kodi inatafutwa kwa mbinde,Sikizen hii, muijue serikali yenu
apo umenena mkuuuMbezi ya kimara na mbezi beach panahitajika kila sehemu ijengwe malls kubwaa,,
Hii sector wadau wanaikwepa ila hizo sehemu naona kabisa kuna fursa
Tukiweza kuboresha viwanja vingi tulivyonanyo (lake Tanganyika, Ali Hassan Mwinyi, Maji maji, jamhuri, Kirumba) na kujenga vingine vikubwa kama vitatu hivi, tutatisha sana Afrika. Wapenzi wa mpira teyari tunao, imebaki serikali tuu kufanya maaamuzi.Nilichokugundua leo pia ni kuwa mdhamini mkuu wa Kagera Sugar ni kampuni ya kimataifa ya mafuta, TotalEnergies. Imenifurahisha sana hii
na BONGO tuna viwanja vingi mnooo sema ukarabati unahitajikaTukiweza kuboresha viwanja vingi tulivyonanyo (lake Tanganyika, Ali Hassan Mwinyi, Maji maji, jamhuri, Kirumba) na kujenga vingine vikubwa kama vitatu hivi, tutatisha sana Afrika. Wapenzi wa mpira teyari tunao, imebaki serikali tuu kufanya maaamuzi.