Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala haina haja ya kutumia nguvu kuelezea hao wenye chuki binafsi,ushahidi mdogo tuu wanaweza ona toka Mwendazake kafa kila sekta kwa sasa imeongeza makusanyo ya Mapato kuanzia madini hadi Halmashauri hadi Dart Kila sehemu mambo ni moto..

Mwisho huyo haters Wala asikupe shida ataje mradi hata mmja anaosema umekwama ikiwemo iliyoachwa na Mwendazake na Mwisho aingie ajira portal alone vile Kazi zinamiminika huu ni ushahidi tosha kwamba mambo yanaenda..

Eti hakuna miradi mipya nimemtajia ya kutosha na ni mingi kiasi huwezi hesabu, mengine aliyoyataja ya sijui mastandi kama ya Arusha ni wameweka kwenye mradi tactic,masoko sio mapambo kwamba yajengwe Kila mahali bali yanajengwa masoko ya kimkakati tuu na nimemueleza,barabara za Dom etc ndio kwanza wako kwenye feasibility study ila barabara mpya nyingi tuu ziko zinaendelea na Ujenzi hata picha za live naweza wapa sio kila kitu kitaandikwa..

Ni wendawawazimu kwa Mwendazake katumia miaka 5 na katika hiyo aliishia kuanzisha miradi na less than 30% ya aliyoianzisha ilikamilika at the same time wanataka mama amalize miradi yote kwa mwaka mmja na ianze mipya, upumbavu wa hivi watafanya sukuma gang sio awamu ya 6,kila kitu lazima kiende kwa utaratibu na Kwa budget na pia kwa Vipaombele vya kila awamu..

Mama kipaombele chake ni huduma za jamii na ushahidi ni wingi wa miradi ya maji, barabara za Vijijini,huduma za afya ,kilimo, elimu na biashara.

Mwisho ni kwamba awamu ya 6 haina pambio za kuzidi Wala haijateka nyara vyombo vya habari kwamba viimbe pambio daily hiyo haipo kwa hiyo ni wajibu wa kila mtu kutafuta taarifa sahihi kwenye taasisi husika au kwenda site..
 
Miradi yote Hii hapa chini ni kwa ajili ya Vijana.

Mwendazake alikuwa hahangaiki na ajira za watu wake ila kutukanaπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220821-183722.png
    40.9 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220821-183916.png
    137.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220821-183935.png
    176.7 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220826-152058.png
    101.9 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220825-210656.png
    142.7 KB · Views: 17
Ndio wenye viwanja vya ndege vizuri east africa

Ndio wenye bus stations nzuri east africa

Ndio wenye madaraja mazuri east africa

[emoji16]
 
Hujasikia madini yamekamatwa juzi huko geita?
 


India signs MoU to build cancer hospital in TZ​

KAUNGA MAULID6 days ago

Indian High Commission Mr Binaya Pradhan.

INDIA through Apollo Hospitals has signed a Memorandum of Understanding (MoU) with the Eclipse Group Africa to set up a state-of-the-art diagnostic centre for cancer in Tanzania.

The MoU agreement was signed on Friday at the Indian High Commission in Tanzania and was witnessed by various people including Indian High Commission Mr Binaya Pradhan.

Speaking during the signing of the agreement, Eclipse Group Africa Chairman Mr Zahir Damji said that through the partnership Apollo Hospitals will provide health care services with advanced cancer care treatment.

β€œThe construction of the hospital will greatly help Tanzanians and many other African countries to be treated here in Tanzania,” said Mr Zahir.

Mr Zahir also said that the project will start with 60 beds that will provide comprehensive care for cancer from diagnosis to treatment.

He said that the hospital will offer medical, surgical and radiation treatment to cancer patients across age groups from paediatric to adults.

β€œIn line with the vision of Apollo Hospitals, the centre will offer best-in-class treatment and care with a team of experienced oncology, cancer care management and the world’s finest technology to make quality cancer care to over 55 million people in Tanzania,” said Mr Zahir.

Mr Zahir said that the rising cancer cases and a lack of quality cancer care are prevalent issues in Tanzania so Apollo hospitals will help to bring about a change and give opportunities to the people of Tanzania to live a healthy and cancer-free life.

On his part, Secretary in the Ministry of Health and Family Welfare in India Mr Lav Agarwal said the collaboration between Apollo Hospitals and Eclipse Group Africa will strengthen international relations and lay the foundation for many more strong associations to come.

β€œIt is the privilege to witness the beginning of a positive change in the health care segment in Tanzania that will significantly help Africans in general,” said Mr Agarwal.

President of Group Oncology and International, Apollo Hospitals Enterprises Limited Mr Denish Madhavan said they have partnered with Eclipse Group of Africa to build a quality-driven Apollo centre in Tanzania that will touch billions of lives across the globe.

He also said the collaboration with the eclipse group will strengthen the health care ecosystem of the country and support Tanzanians and people from neighbouring countries.

The Indian High Commissioner in Tanzania Mr Binaya Pradhan said that health has been an important area of collaboration between the two countries, adding that Tanzania and India have been development partners for several years.

He also said that Appolo hospital will offer high-end laboratories, ultrasound and imaging facilities that are easy to access to high-end PTE, CT and MRI services to enable the right and accurate diagnosis for the broader population of Tanzania.

 
Sawa.🀣🀣
 

Ulivyo zuzu umequote kitu hata huelewi. Akili kisoda.
 
Sawa bendera cha upepo,kumbe ukibanwa na kukosa fursa za upigaji mambo yako hayaendi na unaamua kumcbukia mtu sababu ulibanwa,ila ukipewa mianya ya upigaji nakuona mambo yako yanaenda hapo ndipo unapomkubali mtu,

Kama mindset yako ipo hivyo basi Hii nchi tuna kazi kubwa sana yakupiga hatua,

Magu alikuwa na mapungufu yake ila makubwa kafanya na mpaka sasa kwenye displin ya usimamizi wa mali za umma hakuna aliyemfikia
 

Unaandika sentensi zote hizo kuelimisha zuzu
 
Mimi sio mwehu kama wewe, Mwanza ni Dar is slum ndogo wewe mrogi., yaani umejisema what u always do here, kumbe unajijua ulivyo mwehu.., mimi naweka kila kitu wazi wazi.., go back and check, tokea CBD to the outskirts.., kwanza yale hovyo ndio niliwacha.., kwa vile ukiendelea ndio sura ya ufukara inaongezeka, yaani mko hovyo ata uandike nini, utajifariji tu, facts are screaming kishenzi, ujinga wenu nahufahamu na uwerevu wako kilaza ndio ujinga wangu., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yani kama kuna mtaa kama huu Nairobi mnioneshe! Nadelete account humu JF

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…