Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hi pavement ya kawaida sana hata kwa village yangu ipo. Nionyeshe kama hii.

Hii .!! We jamaa zimo kweli kichwani.? Kwahyo unataka lazima iwe na rangi kama hivyo.? 🤣🤣.. kwanza hizo pavers nimeweka mimi ni world wide mzee
 
Hii .!! We jamaa zimo kweli kichwani.? Kwahyo unataka lazima iwe na rangi kama hivyo.? 🤣🤣.. kwanza hizo pavers nimeweka mimi ni world wide mzee
Ndio maana nikaiweka. Maanake ni tofauti halafu ni higher quality sababu ni polymer based, sio concrete kama hizo zenu. Wewe ukaangukia eti ooh tumezipata juzi. Nionyeshe basi zenu hizo za kitambo.
 
Ndio maana nikaiweka. Maanake ni tofauti halafu ni higher quality sababu ni polymer based, sio concrete kama hizo zenu. Wewe ukaangukia eti ooh tumezipata juzi. Nionyeshe basi zenu hizo za kitambo.
Wacha ushamba wewe mbuzi, higher quality unaijua wewe, those ones are the cheapest pavers Bro, dunia nzima side works zinaka hivi 👇 China china👇Tanzania 👇
 
Kwani unadhani hawajui ila huwa wanajifariji kwa kutafuta maeneo machache mabovu, kwa mfano huyo pimbi Don YF alipoingia Google earth aliona maeneo mengi mazuri lkn hakuweka akayakata akaacha yale machache mabovu, ni wivu tu plus roho mbaya waliyozaliwa nayo.
 
Aisee bruh kuna v2 unatuangusha...hizi unazopost hazijaqualify kua mall ,kweli Panone ni mopao ila sasa angalia na mizigo wanayopost wapinzani
 
Kuhusu propaganda CCM na serikali yake wana porojo zakutosha tu hivyo raisi yeyote anayetokea CCM itikadi zao ni moja tu,aliyethubutu kiuhalisia kidogo magu alikaza buti
Sio kdg ni sana mana 99% ya mambo yote mapya tunayoringia humu muasisi ni Magu usibabaike na maneno ya wavimba macho wanaojifanya hawakubali legacy lkn akipost kitu Muasisi ni yule yule.
 
Kila barabara unayoijua wewe ipo Dar kuanzia inapoanza mpaka inapoishia pembeni yake kuna hizo pavers .. eg hii [emoji116]View attachment 2334678
Hapa EA hakuna nchi ina pavement ndefu kuliko Tz, kuna ile inayoanzia Airpot terminal one all the way to Posta, jaribu kufanya calculation alafu uniambie ni kilomita ngapi zen waambie wakuletee pavement ndefu kuliko hiyo popote pale Africa ukiondoa SA na Egypt japo nao sina hakika kama wanayo ndefu namna hyo.
 
Na kutoka posta hadi kimara,kutoka magomeni hadi morocco
 
Na kutoka posta hadi kimara,kutoka magomeni hadi morocco
Kutoka Sinza Bamaga hadi Shekilango,,, kutoka Uhasibu hadi Mwenge (nafkiri hii ndio njia yenye side walks ndefu zaidi hapa DAR japo sio pavers ), kutoka ocean road karibu na ikulu hadi Masaki 6km, kutoka Mwenge mpaka Tegeta Nyuki, kutoka mnazi mmoja mpaka serena hotel, kutoka gerezani mpaka fire, kutoka fire kuelekea Upanga huko, and many more hata Tandale na mabibo barabara zake mpya side walks zake zote ziko na pavers or concrete, wachana na hizi njia mpya zinazojengwa BRT Sijui Mandela road, barabara inayopita pale keko to Ilala boma to Magomeni mikumi.. .. kwakifup hapa EA hatuna mpinzani kwenye sector hiyo, we have a good number of km of side walks
 

Barrack Obama, Toure drive, Kenyatta Zote hizi zina Quality pavements, Best in Dar baada ya Morogoro road, Kawawa , Kivukoni na Msimbazi. Pia Nyerere road na Bibi Titi, Tena hiyo Bibi titi ndio colored kama zao wanazoweka sasa hivi[emoji23]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…