Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Why the independent Bodies arenโ€™t holding uhuru accountable for grabbing land equivalent to settling 20 million Kenyans ?
Plus the massive wealth that Mama ngina has accumulated due to looting ?
 
Chuki hazitabadili uhalisia Mzee, Mwendazake alikuwa muongo na mpenda sifa za kijinga..

Kama ni madeni yalikopwa mamilopo ya kishenzi na yenye riba kubwa na Mwendazake huku akidanganya mnajenga kwa pesa zenu..

Wakati alifanya hayo alikuwa anawapora maskini Kwa kuwalipisha elfu 20,000 mliyoita kitambulisho cha mjasiliamali,akipora wafanyabiashara pesa na kuua uchumi..

Samia Keshafunika legacy zamnai Sana,sectors zooote are moving na wewe unajua licha ya chuki zako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜œ

Kuhusu tozo soma Maoni ya Wananchi kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA hapa ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220825-152037.png
    44.8 KB · Views: 21
  • 20220825_152030.jpg
    30 KB · Views: 22
Dar es Salaam (Yaani sura ya Mombasa) VS Nairobi(2021), ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ

Dar
 
Wewe kunguni Manager and managing Director are not the same thing.
Sasa unataka nikusaidieje? Watanzania nature yao hawapendi shobo kabisa, angekua ni mkunya angeshaanda profile ya kutisha kujielezea umiliki wake mpaka kuzimu wamjue, watanzania hatupo hivyo matajiri wa Tanzania hawapendi kujulikana sasa kama wewe unamjua mmiliki wa hiyo mall mlete!
 
Sasa unabisha hapa sio Kisumu?

View attachment 2334512
Hakuna stage ya Kisumu leo hii iko na uchafu hivi.., hii nikuonyesha umekosa jibu kabisa.., ni 2022 Governor Prof. Anyang Nyong'o alingarisha Kisumu miaka tano iliyo pita.., pole kwa maumivu na bado, ndio tumeanza kuamka, mtapata tabu sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
CBD ya kisumu ni 100 square meters, ingia ndani kidogo uone ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ