Aisee...Hii nmeipenda eti mtoto wa wala tozo daah[emoji28][emoji28]
Yaani nyang'au anavyojipendekeza kwa wazungu ni hatari, ha ha ha.
Kizungu kweli ilikuja na meli!ππDaad Kenya masters program to be offered at KCMUCo
ila aliye na nguvu mpishe, msenangu..Yaani nyang'au anavyojipendekeza kwa wazungu ni hatari, ha ha ha.
Lakini siyo kwa kujipendekeza huko. Hii imepitilizaπila aliye na nguvu mpishe, msenangu..
Ka Nairobi ni kachafu sn hakana mfano Africa hii.Kapiga mihogo , mishikaki na sharubati ya miwa coco beach . Halafu bei ni ya kawaida kabaki anashangaa. Mi kila youtuber wa kikenya anapokuja bongo anazungumzia usafi . Inaelekea huko Nairobi fly hakunaga garbage collector
Huyu kijana hiii ni kiswahili gani anazungumza!!!Hii nmeipenda eti mtoto wa wala tozo daahπ π
Mbona nyomi dogo? Nina uhakika utapata kitanda kabsaa!TC 402 To Guangzhou now checking
View attachment 2329956
View attachment 2329957
View attachment 2329958
Hv mtu kama huy badae atasema hajui na hafatilii chochote kihusu Tz na hpa anaimba wimbo uliotoka miaka ya 2000's[emoji28][emoji444][emoji443]...booongo weee... bongo daresalaaam.. utalialialia...[emoji445]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh maana, I can't imagine hii battle isingekuwepo sijui wangekua wanaongea nini huko kwao [emoji1787][emoji1787][emoji1787], mana sio kawaida Duh
Mwaka ujao inaanza kwenda Uingereza na Marekani
Yani kwa hizi namba hata sielewi kwa nini Air Tanzania haiendi UK na USA.
52,301Γ·280=186
Hii inamaanisha wanaweza kuwa na safari 186. Ukigawanya kwa wiki 52 kwa mwaka
186Γ·53=3
Yani they can have 3 weekly flight to the US. Hivi hawa jamaa wataamka lini?
Nimekosea namba ila najua point imefika,,[emoji1787]
Majaliwa na Mwigulu wameanza kumiliki hizi timu awamu ya 6? Gwambina je?Hiv vitu kama angalikua anafanya magufuli uko kwao angalitukanwa vibaya mno.. vichwa vya habari vingekua.. "Magufuli atengeneza uwanja wenye hadhi ya kimataifa Nyumbani kwao". π€£π€£π€£. Duh bongo nyoso sana
Kiukweli miji yenu ni misafi na ina mpangilio mzuri..
Yaani kasema ukweli, yaani kkusalimia huku utakuta mtu anasema anamshukuru kiongozi X kwa kutoa kiasi X cha pesa kwa ajili ya mradi X,utadhani ni pesa za kiongozi wakati ni Kodi ya wananchi,hii imeshamiri Sana hapa Tanzania πΉπΏ,siipendi hii Tabia.