Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Assuming wooote watapanda Air Tanzania! Kiufupi ndege za Air Tanzania zilizopo za masaa marefu hazitoshi!
 
Again kenyans coming to tz to source for raw materials not vice versa
Hahahaha, hahahaha, it is paining but you can't change the reality. We are the giant.

Why there is no a single one carrying finished goods coming to Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
The fact that Nairobi nzima wanaongea kiswahili ni dalili za kuwatawala, Mkenya kuacha lugha ya kujipendekeza kwa Malkia na lugha zao za Makabila ni kazi kubwa tumefanya.

Ila Waganda wajanja sana, licha ya kuwachapa wamekidindia kabisa Kiswahili, wameamua kufa kijeuli kama mtoto wa Simbachawene……..😅😅 lakini the fact kwamba Afrika nzima inaenda kuongea Kiswahili, kila goti litapigwa kwa Mfalme mpya anayekwenda kuitawala Afrika nje ndani.
 
Hahahaha, hahahaha, it is paining but you can't change the reality. We are the giant.

Why there is no a single one carrying finished goods coming to Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana nkamuuliza raw materials wanatengenezea nn? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
dada wa kikenya leo kapost akiwa dar,kalikubali sana hili jengo,katika youtubers wanaokuja TZ huyo kaipatia sana dar na zenj
Kapiga mihogo , mishikaki na sharubati ya miwa coco beach . Halafu bei ni ya kawaida kabaki anashangaa. Mi kila youtuber wa kikenya anapokuja bongo anazungumzia usafi . Inaelekea huko Nairobi fly hakunaga garbage collector
 
Angalia na comments za wakenya kuhusu usafi,kule kwao swala la usafi awazingatii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…