kuna maeneo mengi sana dar aerial view zake ni balaa.......sema ....asilimia kubwa hatujapiga picha hayo maeneo....hatuna huo utaratibuAlete aeriel view unaweza zirai kuona nyumba ya mjukuu wa seyyid said imezungukwa na nyumba za kiswahili. .
sawa mrembo nimekuelewa....tutapambana na nyetuBibi we, limeshaandikwa hata mkisema haiezi kufutika tupo mbele yenu na hilo li wazi kama lila na fila,mafumbo msitufumbie muyashugulikienu yakwenu yetu muache.
aisee mrembo una mashairi na ngonjera nzuri sana nimekupenda sana[emoji112] [emoji112] [emoji112]Shoga !! watoa wapi nguvu za kuiponda nchi yetu??
tushakuona kwa mbali watafuta Shari ila sisi hatuna mda huo, mtasema hadi kiama nchi yetu ishasimama wima ,mtaishi kwa kutusakama kwa majungu na vijembe ila sisi tupo hapa twabarizi kwa raha zetu.
nawewe bado upo nilijua umekufa[emoji85]Haha hiyo ilipitwa na wakati a decade ago.
acha upuuzi wakumdanganya na kumlegeza ndugu yetu hapo......nyie hamna kitu chochote cha maana hapo nairobi labda mtuzidi kwa kuwa na machokoraa [emoji41]sababu kubwa yangu ku reply messages zako za awali ni sababu nilisema kuwa sita kuwa niki reply comments za watz wasio kuwa na akili...wale watz wa povu, hasira na renders...😀😀😀uskue kama hao watu bro...mimi nakuheshimu sana...wewe ukweli unausema bila ushabiki...sasa usifate nyayo za wale watu wa povu, hasira, renders...tayari hawana heshima toka kwa wakenya ila wewe atleast...
wow, you nailed man. ebu Wakenya tumeni picha hata inayofanana na hii bas.Tag me when any City in Kenya get this "Dense"
is this machakos?Show me a city from tz that can match this.....mmmhh
waitoe wapi?....labda mombasa in 2030.wow, you nailed man. ebu Wakenya tumeni picha hata inayofanana na hii bas.
Kumechakaa ,hii ndio hood yako?nipo ndani humo.....kidogo namfundisha COLLo na el matador kudrive[emoji41] [emoji41]
Unajivunia density yenye ghorofa zinafanana ka zote tena unplanned...hahaTag me when any City in Kenya get this "Dense"
Unajivunia density yenye ghorofa zinafanana ka zote tena unplanned...haha
Show me a city from tz that can match this.....mmmhh