tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Sawa it's okey. ..sababu kubwa yangu ku reply messages zako za awali ni sababu nilisema kuwa sita kuwa niki reply comments za watz wasio kuwa na akili...wale watz wa povu, hasira na renders...😀😀😀uskue kama hao watu bro...mimi nakuheshimu sana...wewe ukweli unausema bila ushabiki...sasa usifate nyayo za wale watu wa povu, hasira, renders...tayari hawana heshima toka kwa wakenya ila wewe atleast...
Ila haya mambo yanatia mizuka sana kwa kweli...Nadhani Ni sahihi nyie kuvimba lakini tutawapiga manundu tu msijali

haiwezekani kila kitu muoshe lazima tukomae nanyi ...Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app