joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Unajisifia kwa kutojua Mambo?, Huo ni ujinga wako, lakini Nina uhakika mnawajua wanamziki wote wa Tanzania, akiwemo baba Levo[emoji38][emoji38][emoji38]CgcE3
Yani mnajua hadi majina ya mawaziri wetu wakati mimi hapa sijui hata moja huko kwenu! [emoji23][emoji23][emoji23]
So interesting!
But when Lisu, Baba Levo, Halima Mdee, Maria Sarungi and others give their opinions you take them seriouslyWewe kilaza sana. Yani maoni ya mtu binafsi unayeleta hapa and make it sound authentic? We Kenyans are used to Miguna's theatrics. He isn't new to controversy from way back
Hivi hizi nchi zetu zina shida gani pamoja na uchumi wao mzuri lakini bado wana watu wenye njaa kiasi hiki?kisha mmezoea kudefend mandugu zenu wadhati, eti hawana njaa......!
hawana njaa kivipi, ilhali 35% of southafricans go hungry evryday.!?
[emoji848][emoji848] heb check maneno[emoji1427]
View attachment 2322918View attachment 2322919
Me bado hamjanielewesha umahiri wake kwenye hili suala [emoji23][emoji23][emoji23]Ami yangu jecha anafanya yake kunyaland huko [emoji23]
Tuonyeshe taarifa za vifo na misaada ya vyakula huko South Africa. Sasa mnajua ujinga wa GDP without economic inclusivenesskisha mmezoea kudefend mandugu zenu wadhati, eti hawana njaa......!
hawana njaa kivipi, ilhali 35% of southafricans go hungry evryday.!?
[emoji848][emoji848] heb check maneno[emoji1427]
View attachment 2322918View attachment 2322919
nb:
Southafrica is dryer than Kenya, hence hunger and drought should not come as a shocker!
View attachment 2322929View attachment 2322930
Huyo huwa ni mjinga sana, hilo jengo lilishakarabatiwa na picha iliwekwa humu lkn bado analeta picha ya kitambo ili kujifariji. Wao wangoje tuwaoneshe nguvu ya Tz, tunawawekea Rais tunayemtaka sisi this time [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe lilishakarabatiwa kabisa na bado anabisha, ana ubishi wa kitoto sana.
skia na uskilize vizuri.... sisi hatuyapokei msaada toka nje bure.! bali chakula tunavinunua.. kisa, kenya can easily contain its own challenges sababu hela tunazo. hicho nacho kieleweke vyema!☝🏽Tuonyeshe taarifa za vifo na misaada ya vyakula huko South Africa. Sasa mnajua ujinga wa GDP without economic inclusiveness
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
skia na uskilize vizuri.... sisi hatuyapokei msaada toka nje bure.! bali tuna nunua vyakula.. kisa, kenya can easily contain its own challenges sababu hela tunayo. hicho kieleweke vyema![emoji1432]
Utaruhusu je results zirushwe hewani kama hazijawa verified?Bongolala, media houses were tallying forms 34A as they appear on the portal na ndio walikuwa wakionyesha matokeo zake kwenye runinga. By the time they stopped showing results, 99% of all forms 34A were already uploaded on the portal and tallied.
Kinachofanyika sasa ni verification of forms 34B by the IEBC. This is not the work of the media. Verification is strictly done by the IEBC and these forms (34B) are not uploaded on the portal. They are physically delivered to the commission by all the 290 Returning Officers for verification to ensure that it tallies with the figures captured in forms 34A as announced at the constituency level.
Once this is done, the commission announces provisional results of what each candidate scored per constituency.
At the moment, the commission has already verified results in 43 constituencies and announced provisional results as follows
The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Umeelewa?
Tena hizi za food donations to Kenya zipo nyingi sana mkuu, licha ya sisi kuwalisha kwa chakula cha bei nafuu sawa na bure lkn bado wanaomba omba kila kukicha. Jamaa wanatuaibisha sn EA, ndio maana huwa nasema umefika muda wa kuwauzia chakula kwa bei ya juu kama alivyosema Magu, wazembe sn hawa watu.
Kenya ni masikini wa kutupwa, mtaendelea kupokea food donations for the next 50 yrs[emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tumempeleka Kenya akasimanie uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jecha ana cheo gani kwani kwenye mambo yetu haya siasa(matokeo ya uchaguzi) mkuu [emoji38][emoji38][emoji38]
Tungekuwa na uchumi hata nusu ya SA tungelisha Aftica yote.Hivi hizi nchi zetu zina shida gani pamoja na uchumi wao mzuri lakini bado wana watu wenye njaa kiasi hiki?
Kwa kiasi fulani Tanzania tuko vizuri na viongozi wetu wanajitahidi sana katika suala la chakula.
Mzee wa kukoroga uchaguzi. Ndie aliyefuta uchaguzi Zanzibar baada ya Maalim Seif kushinda 2015Me bado hamjanielewesha umahiri wake kwenye hili suala [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo huwa ni mjinga sana, hilo jengo lilishakarabatiwa na picha iliwekwa humu lkn bado analeta picha ya kitambo ili kujifariji. Wao wangoje tuwaoneshe nguvu ya Tz, tunawawekea Rais tunayemtaka sisi this time [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuweke picha za msaada wa chakula ukikabidhiwa state house?skia na uskilize vizuri.... sisi hatuyapokei msaada toka nje bure.! bali chakula tunavinunua.. kisa, kenya can easily contain its own challenges sababu hela tunazo. hicho nacho kieleweke vyema![emoji1432]
Hapo sawa,halafu cheki anavyotembea kwa utulivu kumbe ana mbio somewhere, huwezi kumdhania kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Tumempeleka Kenya akasimanie uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2322960
Imagine some of that food aid ni genetically modified dah njaa mwanaharamu sana utakula chochote kitakacholetwa na wahisani.
Kenya ni masikini wa kutupwa, mtaendelea kupokea food donations for the next 50 yrs[emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu. Tuko vizuri sana na ni aibu kwa South Africa kuwa na tatizo la watu wasiokuwa na chakula pamoja na uchumi wao ulivyo mkubwa hapa Afrika.Tungekuwa na uchumi hata nusu ya SA tungelisha Aftica yote.
Road network Tz ni kubwa sana hawa majirani you can count their road networks.