Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Media za kenya zimeacha kutangaza matikeo ya urais vp kulikoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf ndio munasema muna uchaguzi bora mavi ya bata πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Wengine whatsapp status wanapost hvi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna mwaka uchaguzi ulikua wa ovyo kama huu na sijui ni namna gani mutakavopasuana
 
Unakuaga punguani siku zote, unakwama wapi ikija uelewa wa mambo? Uwezo wa kuchunguza hauna? Kanye ulale bro.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wacha kujiaibisha nawe! Ule uliopita wa Sukumagang ulikuwaje vile?
 
Zilikuwa ni za watz comred, tawfiq walibadili jina ni falcon sasa. Sijui. Na bus la takreem iliishia wapi!.
Takreem... I was searching for that name. Takreem na Tawfiq zilikuwa ni kama mandugu. Ukiona Tawfiq imepita ujue Takreem ipo njiani inakuja muda sio mrefu. Haya mabasi zote yalinipotelea nyakati hizo. Takreem ni kama ilikufa ikazikwa katika kaburi la sahau
 
wacha kujiaibisha nawe! Ule uliopita wa Sukumagang ulikuwaje vile?
Heheh nimecheka sana unajua nikiangalia zile comment zako za nyuma na sasa hvi hua nacheka tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ww kwasababu unachuki na mtu basi kila kitu kibaya kwake πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Punguza jazba kwanza alaf uje tuongee sasa
 
wacha kujiaibisha nawe! Ule uliopita wa Sukumagang ulikuwaje vile?
Yani kwa huyo kilaza huu uchaguzi imekuwa wa hovyo all of a sudden kisa TV stations zimewacha kutoa kura walizopata wagombea wa uraisπŸ˜‚ Vipi kuhusu matokeo ya ugavana, wabunge, maseneta na wawakilishi wanawake ambazo zinaonyeshwa live na idadi ya kura walizopata washindi?

Itakuwaje wameacha kutangaza wakati TV stations zote zimewacha their normal programming na kufocus kwenye huu uchaguzi? Yeye anataka kuona nini ndio ajue media zetu zote zinaonyesha matokeo ya huu uchaguzi 24/7?
 
Unakuaga punguani siku zote, unakwama wapi ikija uelewa wa mambo? Uwezo wa kuchunguza hauna? Kanye ulale bro.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo anaongea hivyo na kusahau kwamba matangazo ya uchaguzi live kwenye vyombo vya habari huko kwao ni ndoto ambayo haitawahi timika
 
Hii sio Ikulu bali ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220812-104817.png
    218.2 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220812-105652.png
    237.3 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…