NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,330
- 19,713
Even those, they'll travel sir. Even Uganda, Nigeria, Zambia, Zimbabwe. It's what people do when they have money, they travel.Why don't you think about South Sudan, Ethiopia, Uganda or DRC, you are thinking about Dubai, South Afrika after Tanzania?, I think you understand
what I want to say.
Kenya wasichana wadogo Kama hao hawawezi kutembea wenyewe bila "escort", there is no peace there, nchi imejaa wakora kila pembe, nani anataka kutembelea Kenya?, Labda wale wanaotoka mbali wasioijua vizuri Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Imagine hiyo ni slum na ina nafuu kuliko hii middle class yenu. 🤣 🤣
Hahahaha, ni baada ya kukutajia sio?. Nikumbushe kidogo, ni nchi gani ambayo wakenya wamejazana kwa wingi kufanya kazi ili kutuma pesa Kenya kusaidia jamaa zao?Even those, they'll travel sir. Even Uganda, Nigeria, Zambia, Zimbabwe. It's what people do when they have money, they travel.
Kama mmeshindwa kufanya kazi si tutawafanyia? We are hustlers.Hahahaha, ni baada ya kukutajia sio?. Nikumbushe kidogo, ni nchi gani ambayo wakenya wanejazana kwa wingi kufanya kazi ili kutuma pesa Kenya kusaidia jamaa zao?
1)Tanzania
2)South Africa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tujifunze kuiga mazuri kutoka kwa watu waliofanikiwa.Siku zote mtu aliyepo chini hudhani aliyepo juu ndio sababu ya yeye kuwa chini.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hata huko USA na UK mlikojazana pia wameshindwa kazi?[emoji23][emoji23][emoji23]Kama mmeshindwa kufanya kazi si tutawafanyia? We are hustlers.
Kuna project inaendelea ya kubadilisha hili bonde la mto Msimbazi na kuwa makazi bora zaidi, siku ikisha haitakuwa na muonekano huu.Imagine hiyo ni slum na ina nafuu kuliko hii middle class yenu. [emoji1787] [emoji1787]
Si ulisema tumejazana Tz, umekuwa US Tena?🤣🤣Kwahiyo hata huko USA na UK mlikojazana pia wameshindwa kazi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unaongea kama mshambaWhy don't you think about South Sudan, Ethiopia, Uganda or DRC, you are thinking about Dubai, South Afrika after Tanzania?, I think you understand
what I want to say.
Kenya wasichana wadogo Kama hao hawawezi kutembea wenyewe bila "escort", there is no peace there, nchi imejaa wakora kila pembe, nani anataka kutembelea Kenya?, Labda wale wanaotoka mbali wasioijua vizuri Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
kukimbia matatizo siyo suluMe kwa maono yangu heri Tanzania ijiondoe kwa jumuia ya Africa mashariki Waka ungane na ya kusini.... Tunasumbuana sana huku.... Hata hivo ukiangalia kwenye ramani Tanzania Iko south si east
hatuwezi kuondoka tukawaacha ndugu zetu UGANDA, S.SUDANI, BURUNDI NA RWANDA! Ndiyo maana tulipambana mpaka coalition of the willing ikafia mbali.Bora hivo muende sadc sisi tubaki tupambane, sisi kuwa na Tanzania muungani mmoja is proving to be toxic
Picha ya kwanza ni ferry miaka ya 1990s, picha ya pili ni bonde la mto msimbazi ambapo nyumba zishabomolewa kupisha mradi mkubwa wa mto msimbazi.Imagine hiyo ni slum na ina nafuu kuliko hii middle class yenu. [emoji1787] [emoji1787]
Sahihi kabisa. Picha za renders zipo zilishaletwa humu jamvini.Picha ya kwanza ni ferry miaka ya 1990s, picha ya pili ni bonde la mto msimbazi ambapo nyumba zishabomolewa kupisha mradi mkubwa wa mto msimbazi.
Because Tz is giving you guys sleepless nights [emoji287] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora hivo muende sadc sisi tubaki tupambane, sisi kuwa na Tanzania muungani mmoja is proving to be toxic
Kwani tayari ghasia zimeanza?Itabidi Mungu atusaidie. Mimi niseme wazi tu kwamba ikiwa matukio fulani yatatokea itabidi niadimike humu JF. Nitakuwa nakuja mara moja moja tu ila sio kila siku.
Ngombe CoW chali miguu juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila Tanzania, hakuna EAC, sisi ndio tuliotoa wazo la kuanzishwa kwa EAC na kila kitu kipo Arusha, au unapendekeza Arusha iwe ni sehemu ya Kenya?.
Nimekuuliza, tulipojaribu kutoshiriki Mambo ya EAC, ninyi mliamua kuanzishwa "Coalition of the willing" ili kuitenga Tanzania, mlifanikiwa?[emoji23].
Centrol corridor vs Northern Corridor, hizo ndio zitakueleza Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani inayokubalika zaidi na nchi za EAC. Suala la hivi karibuni ambapo tena Tanzania ilichaguliwa kuwa nchi itakayojengwa Bank kuu ya EAC na kizishinda nchi zote, pia ni dalili kwamba bila Tanzania hakuna EAC.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yaani hapo yeye mwenyewe kaiweka Tz kwenye level za South Africa, Dubai kuwa ni sehemu nzuri kwa watu wenye pesa kutembea. He shot himself on the foot [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Why don't you think about South Sudan, Ethiopia, Uganda or DRC, you are thinking about Dubai, South Afrika after Tanzania?, I think you understand
what I want to say.
Kenya wasichana wadogo Kama hao hawawezi kutembea wenyewe bila "escort", there is no peace there, nchi imejaa wakora kila pembe, nani anataka kutembelea Kenya?, Labda wale wanaotoka mbali wasioijua vizuri Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na vingunguti mnayoisema huku imeshanunuliwa yote wanajenga mji wa kisasa pale.So serikali ibomoe makazi ya watu binafsi wazijenge upya [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnatuona sisi vilaza?!
Sizungumzii mambo ya ghasia.Kwani tayari ghasia zimeanza?