joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwani ninyi chuki yenu kwa Tanzania inawatoa kwenye slums, njaa, rushwa na ukabila?, Mbona kila kukicha njaa na slums ndio vinaongezeka?.Uzuri chuki yako ya Kenya hakibadilishi chochote. Utabaki kuishi maisha ya uchochole hapo Tanga au kokote unapoishi.
It is impossible Kenya to have election which is free and fair with no violence99.9% of dimwits with low IQ
CCM won election by 99% which is impossible in any democracy
Hii jumuia ya Africa mashariki ilianzishwa na Nyerere, SADC pia ni mawazo ya Nyerere, Kama sio Nyerere kukataa na kupendekeza makao makuu ya SADC kuhamishiwa Gaborone toka Dar es Salaam ambako ndiko yalikoanzia, hadi Leo yangekuwa yamebaki Tanzania.Me kwa maono yangu heri Tanzania ijiondoe kwa jumuia ya Africa mashariki Waka ungane na ya kusini.... Tunasumbuana sana huku.... Hata hivo ukiangalia kwenye ramani Tanzania Iko south si east
So far ni kura ngapi zimehesabiwa bongolala?Wakunya bhana kura zilizo hesabiwa zinazidi idadi ya wapigaji kura halafu kuna watu wanasema kuna kitu cha kujifunza kwao 😂😂😂
So serikali ibomoe makazi ya watu binafsi wazijenge upya 😂😂😂Muda ukifika tutabomoa na kujenga highrise buildings kama tulivyofanya Magomeni quarters.View attachment 2321311View attachment 2321312View attachment 2321314View attachment 2321313
Waache wabaki na ujinga wao,hawawezi kuelewa nondo za nyerere hakuna walijualoHii jumuia ya Africa mashariki ilianzishwa na Nyerere, SADC pia ni mawazo ya Nyerere, Kama sio Nyerere kukataa na kupendekeza makao makuu ya SADC kuhamishiwa Gaborone toka Dar es Salaam ambako ndiko yalikoanzia, hadi Leo yangekuwa yamebaki Tanzania.
Sisi Tanzania tunapenda na tinashirikiana zaidi na SADC kuliko tunavyoshirikiana na EAC. Ninakumbuka ninyi mlianzisha CoW Kama mwanzo wa kuitenga Tanzania, vipi mumefikia wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
They have money and can afford to enjoy. It has nothing to do with you but them. Wakitoka hapo wataenda Dubai, wakitoka Dubai waende South Africa, wakitoka South Africa waende Rwanda nk.Hawa dada zenu cheki wanavyo enjoy life in TZ. Vipi warudi ama tuwaoe kabisa?
kukimbia matatizo siyo suluhu ya kudumu, tunatakiwa tutafute namna sahihi ya kukabidhiana na wakunyaMe kwa maono yangu heri Tanzania ijiondoe kwa jumuia ya Africa mashariki Waka ungane na ya kusini.... Tunasumbuana sana huku.... Hata hivo ukiangalia kwenye ramani Tanzania Iko south si east
This was in a light note hehekuchezea bembea ndio amani 😂
aisee hizi uniforms zao zinatofauti gani na overall ya fungi mechanical?kuchezea bembea ndio amani 😂
Bora hivo muende sadc sisi tubaki tupambane, sisi kuwa na Tanzania muungani mmoja is proving to be toxicHii jumuia ya Africa mashariki ilianzishwa na Nyerere, SADC pia ni mawazo ya Nyerere, Kama sio Nyerere kukataa na kupendekeza makao makuu ya SADC kuhamishiwa Gaborone toka Dar es Salaam ambako ndiko yalikoanzia, hadi Leo yangekuwa yamebaki Tanzania.
Sisi Tanzania tunapenda na tinashirikiana zaidi na SADC kuliko tunavyoshirikiana na EAC. Ninakumbuka ninyi mlianzisha CoW Kama mwanzo wa kuitenga Tanzania, vipi mumefikia wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa ushauri.Wewe ni mtu mzuri lakini tatizo lako ni kuwa unaamini kauli za kila mtu humu ndani hata za uongo. Huyo Fundi kitasa anadanganya wazi wazi na wewe unamuamini haraka sana. Jifunze kuhoji vitu kwa undani kabla ya kuamini. Yaani inaitwa "critical thinking". Sio kwamba kila kitu kinachowekwa humu ndani ni cha kweli.
Bila Tanzania, hakuna EAC, sisi ndio tuliotoa wazo la kuanzishwa kwa EAC na kila kitu kipo Arusha, au unapendekeza Arusha iwe ni sehemu ya Kenya?.Bora hivo muende sadc sisi tubaki tupambane, sisi kuwa na Tanzania muungani mmoja is proving to be toxic
Why don't you think about South Sudan, Ethiopia, Uganda or DRC, you are thinking about Dubai, South Afrika after Tanzania?, I think you understandThey have money and can afford to enjoy. It has nothing to do with you but them. Wakitoka hapo wataenda Dubai, wakitoka Dubai waende South Africa, wakitoka South Africa waende Rwanda nk.
Siku zote mtu aliyepo chini hudhani aliyepo juu ndio sababu ya yeye kuwa chini.
MY TAKE
Wakijaga Bongo hatunaga kinyongo nao tunawakaribisha ila wasanii wetu wakienda ku-perform kwao shida ya wivu huanza!
wawe na heshima juu ya music industry!Siku zote mtu aliyepo chini hudhani aliyepo juu ndio sababu ya yeye kuwa chini.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani yale magorofa mapya ya magometi kota ilikuaje.?So serikali ibomoe makazi ya watu binafsi wazijenge upya 😂😂😂
Mnatuona sisi vilaza?!