Tunajua zile gorofa za udongo za pipeline zilivyo na jinsi zilivyopambwa na chupi kila mahali. Tunaongea vitu tunavyovijua [emoji116]View attachment 2321298View attachment 2321299View attachment 2321300View attachment 2321301Inategemea hiyo nyumba ya chini inakaaje na hiyo gorofa inakaaje. Don't compare oranges to mangoes. Sasa tuseme wenye wanakaa hapa wako na Maisha Bora kuliko wenye wanakaa pale kwa next photo?
Mgekuwa mna uwezo wa kununua watu wasingekufa njaa huko kwenu wala msingepokea msaada wa chakula ila msaada mnapolea sababu watu wanakufa njaa na mediocre giant hana uwezo wa kuokoa jahazi.Niliwaambia nyinyi ndo muende shambani mzalishe vyakula sisi tuna Hela za kuvinunua shida Iko wapi hapo Tena? Inchi yenyu Ina rotubaa nzuri kwa hivo chimbeni sisi tununue maneno ya njaa imetoka wapi?
Kura gani zilizohesabiwa zimezidi wapiga kura?Wakunya bhana kura zilizo hesabiwa zinazidi idadi ya wapigaji kura halafu kuna watu wanasema kuna kitu cha kujifunza kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
Muda ukifika tutabomoa na kujenga highrise buildings kama tulivyofanya Magomeni quarters.View attachment 2321311View attachment 2321312All modern cities are discouraging nyumba ya chini due to population management dar inajenga tu bila kujali what happens 50 years from now
Ndio maana nikakuambia inategemea ni gorofa ipi na nyumba ipi ya chini.Tunajua zile gorofa za udongo za pipeline zilivyo na jinsi zilivyopambwa na chupi kila mahali. Tunaongea vitu tunavyovijua [emoji116]View attachment 2321298View attachment 2321299View attachment 2321300View attachment 2321301View attachment 2321303View attachment 2321302
Hiyo hapo [emoji116]Those bridges are only in your dreams, otherwise tuma picha na uache porojo View attachment 2320999
Baada ya modernization ya Tanga port Govt of Tz imenunua tug boats kwa hela zake nimeona habari inachanganya hapa hii ni hela ya serikali kuboresha huduma Tanga port sio hela ya EACOP.Safi sana
The difference is yeye yuko kwenye land of opportunities na wewe uko kwenye land of propaganda and nepotism [emoji28]mi nashindwa mtoto mdogo kama huyu, alifanya aje hadi kuunda hela nyingi kama hio!.
eti $1.7B.! richer than any east african!
mi naona nikama mungu ako na mapendeleo flani. anabagua watu..
kwani huyu mwanadada anatia bidii gani ambayo mimi si tii kila kukicha!. mbona yeye tajiri sana, mimi maskini..!!?[emoji848][emoji848]
View attachment 2321057View attachment 2321045View attachment 2321046View attachment 2321048View attachment 2321049View attachment 2321050View attachment 2321044View attachment 2321054View attachment 2321055View attachment 2321056View attachment 2321058
alafu kisha watalia eti gdp yetu ni ya mchongo..Lol, Masaki looks like South C yet it's Dar's creme de la creme. 🤣 🤣
the whole of Kunyaland haina facility kama hii ati yet wana SGR!
Noma sana
Hamna tatizo ikiwa unataka Raila au Ruto ashinde. Tatizo ni kwamba wewe unaomba machafuko yatokee Kenya na bado unategemea watu wakuheshimu kwenye huu uzi? Tunavumilia kauli yako ya chuki kwa sasa kwa sababu tunakuheshimu, lakini ukiendelea na hio kauli basi utajikosea heshima na watu hawatakuvumilia tena. Una uhuru wa kuzungumza lakini sidhani kama una uhuru wa kusambaza chuki mitandaoni.Mm nataka ashinde Amoro Odinga mkuu.
Hao ni bendera fuata upepo tu kila kinachofanyika nje ya nchi yao ni kizuri kuliko cha kwao. Kutokuthamini vitu vyao ndio uzalendo eti. Nawaonaga wapuuzi tu.Wakunya bhana kura zilizo hesabiwa zinazidi idadi ya wapigaji kura halafu kuna watu wanasema kuna kitu cha kujifunza kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku ni chooni kabisaNdio maana nikakuambia inategemea ni gorofa ipi na nyumba ipi ya chini.
Anyway, hizo nibora kuliko kuishi hapa
South Afrika wangapi wamekufa kwa njaa?, Lini wamepokea chakula cha msaada?alafu kisha watalia eti gdp yetu ni ya mchongo..
na kama ni njaa, pia SA wako na njaa na ukame, mbaya zaidi kutushinda, ata sasa hivi tunavyo ongea..
View attachment 2321336View attachment 2321337
Kwahiyo kwako wewe yule anayekubaliana na wewe ndiye mkweli, hata Kama unalofanya sio sahihi?[emoji23][emoji23][emoji23]Ila kuna wale wanaokubali ukweli