Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony254 umeiona hii.?
 
Nimekuuliza kuna ulazima gani daraja liwe na njia nane?maana umekua ukilazimisha Tz tukuonyeshe daraja kama lenu hujioni kama mwehu?kwahyo kama lenu lina lane8 ndio lazima lazima madaraja yajengwe hivyo?Fala
Means dar is a fishing village. Watu millioni kumi wanatumia 4 lane bridge 😂😂 such a shame!
 
Kama.baba yake alishasema hawezi kushinda wafuasi wake ni akina nani wapinge kauli ya mzee.

Wakati mwingine kauli za wazee ni sheria.
 
Unapenda uongo. Eti ndani ya miezi 6, exports za Tanzania zimefika $11 billion? Hebu leta ushahidi haraka.
Hahahaha, wakati ninakuletea ushahidi, ninyi endeleeni kusherehekea skyscrapers sisi tunaimarisha kilimo, viwanda, utalii na madini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Najua mnatama sana tuwe na vurugu hehe kamativya roho chafu lakini I hope we don't , it affects alot of people...... Halafu it will be hard mtu kukana hizi kura sababu zote zimewekwa online mtu yoyote aliye omba idhini anaeza kuzichambua
Sasa iweje huyu mjinga kamtandika jamaa risasi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sawa Ndinda. Umejibu vizuri. Kumbe ni kweli mnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…