Yah,It will be a high-end restaurantSeems like wameweka ndege pale uhuru parkView attachment 2319997
Ila hii sio source ya IEBC ni media source sijui kama niko sahihi
Na hii vp ๐๐๐Odinga yupi huyo mkuu?
Ulipoangalia angalia na idadi ya kura zilizohesabiwa afu linganisha na hii. Ruto lazima abebe ๐
View attachment 2320227
Wew bila shaka umeangalia hapa
View attachment 2320235
Anywah, wacha tuone kura zote zikihesabiwa nan kabeba nyingi. Ila mwana, Ruto lazima ashinde hapa
๐ ๐ ๐คฃHawaamini macho yao ๐๐
Malazy huwa mnapenda football sana tatizo nyie ni wabovu kabisa kwenye mchezo huo. Kenya huwa tunawanyuka ile mbaya tunapokutana.Kenya watafika huku wakiwa wamechoka sana ๐๐๐
Munatunyuka wapi ikiwa ligi yenu tu yenyewe imewashinda ๐๐๐๐Malazy huwa mnapenda football sana tatizo nyie ni wabovu kabisa kwenye mchezo huo. Kenya huwa tunawanyuka ile mbaya tunapokutana.
Kenya watafika huku wakiwa wamechoka sana ๐๐๐
Wanafanya maendeleo, hawa jamaa hawana muda wa kupoteza na mambo ya kijingaChina wako mbali wazee[emoji119][emoji119]
Hiyo Getruda huwa anachapia Sana Takwimu, Takwimu sahihi chukua kwa Mama yuko Kazini..