Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kama investor wamegoma serikali si inajenga kuna shida gani kwani.Hakuna serikali yoyote duniani yenye uwezo wa kukidhi mahitaji ya makaazi ya wananchi bila kutegemea private sector. Hata serikali tajiri namna gani haina uwezo huo. Lazima GoT ikubali kugawanya majukumu ya kujenga skyscrapers na majengo mengine na private sector. Huu upuuzi wa GoT kujenga skyscrapers zote ndani ya TZ ni ishara tosha kwamba investors wa real estate wamegoma kuinvest hapo TZ. Kenya skyscrapers zinajengwa na both GoK na private sector. Skyscrapers za CBD zinajengwa na serikali na skyscrapers za Upperhill na Westlands zinajengwa na private sector.
Kenya, mpaka na barabara ni ya wachinaDuniani kote reli inajengwa na serikali. Wapi umeona reli ikijengwa na private sector? Nipe example. Hapa tunazungumzia real estate, yaani majengo hususan majengo marefu
Kwa hivyo unakubali kwamba investors wa real estate wamegoma kuinvest hapo Tanzania? Asante kwa kuwa mkweli.Kama investor wamegoma serikali si inajenga kuna shida gani kwani.
Ingekuwa investors wamegoma na serikali haijengi hapo ndo ingekuwa shida.
Amekariri investor lazima awe mzungu au mchina, akiona Dangote au au Hamidu anajua hao sio private sector.Real estate Dar is ahead of ka Nairobi kwa $3b, so hizo real estate zote imejenga GoT?
100% ya skyscrapers zote above 20 floors (majengo yenye zaidi ya ghorofa 20) hapo Dar es Salaam yamejengwa na serikali ya Tanzania. Mmeshindwa kuvutia muwekezaji hata mmoja wa kujenga skyscraper hata moja hapo Tanzania halafu bado mnataka kushindana na sisi?Real estate Dar is ahead of ka Nairobi kwa $3b, so hizo real estate zote imejenga GoT?
Huku wenzenu utani ni jadi yetu,makabila huku hayabaguani uwa yanataniana,siku umepata msiba hata wa mzazi wako mtu anakuja kukutania na kughasi ghasi na hizo fujo zake zinakua kama faraja tuKati ya Mkenya na Mbongo nani atachukulia utani serious? Usinichekeshe bro.🤣🤣
Imagine China Leo ingekuwa inasubiri sector binafsi ijenge reli sijui ingekuwa je.
Kuna vitu vingine tunakaririshwa tu, hata hatu reason.
Hata mimi nashangaa, labda wanaangalia biashara zaidi.Yanga anatoka wapi huku maana ranking yake Africa ni ndogo sana [emoji28] [emoji2088] [emoji2088] [emoji2088]
Unaiongelea hii Yanga inayosubiri kubadilishana mchezaji na singida United? 😂Wacha wivu na mabingwa wa nchi, timu yenye mvuto zaidi Afrika mashariki na kati kwa ss na wenye pesa na uwezo wa kununua mchezaji yeyote Africa.
Avic ni company ya nani?Hio skyscraper is owned by a PRIVATE Chinese company. Kwa hivyo hio ni mali ya private sector. Haijajengwa na serikali ya Kenya wala serikali ya China.
Haelewi hata wanaomiliki Nairobi ni nani! 😁Avic is a state owned company. No?
hakuna mambo na vision hapa......... hawa watu wa kitambo, akina moi, akina nyerere, kina amin. walikua wana rule kienyeji style. zile za, 'we live for today, tomorrow ijipange'.. hawa watu wa analogue walirudisha sana nyuma EA.Of course we miss Mwalimu so much his ideas and vision still live on.
Yani serikali hapa ingechangamkia uwanja wa dodoma ukamilike mapema
Imetoka list jioni hii toka CAF timu 23 na Yanga haipo lakini. Wamesema kila zone watachukua timu 3 sasa naona kwa zone yetu wamechukua TP Mazembe, Simba na El Hilal ya Sudan tuu.Wacha wivu na mabingwa wa nchi, timu yenye mvuto zaidi Afrika mashariki na kati kwa ss na wenye pesa na uwezo wa kununua mchezaji yeyote Africa.
Ni kweli ilimradi tukwamishwe tu.Kuna wakati inabidi kujiongeza. Taifa bila maono ni Taifa mfu.Imagine China Leo ingekuwa inasubiri sector binafsi ijenge reli sijui ingekuwa je.
Kuna vitu vingine tunakaririshwa tu, hata hatu reason.
Wabongo wengi wana chuki ya kiukweli dhidi ya Wakenya, Wakenya wanachukulia tu utani.Huku wenzenu utani ni jadi yetu,makabila huku hayabaguani uwa yanataniana,siku umepata msiba hata wa mzazi wako mtu anakuja kukutania na kughasi ghasi na hizo fujo zake zinakua kama faraja tu
Imetoka list jioni hii toka CAF timu 23 na Yanga haipo lakini. Wamesema kila zone watachukua timu 3 sasa naona kwa zone yetu wamechukua TP Mazembe, Simba na El Hilal ya Sudan tuu.
Tuma hio link hapaOdinga yupi huyo mkuu?
Ulipoangalia angalia na idadi ya kura zilizohesabiwa afu linganisha na hii. Ruto lazima abebe 😃
View attachment 2320227
Wew bila shaka umeangalia hapa
View attachment 2320235
Anywah, wacha tuone kura zote zikihesabiwa nan kabeba nyingi. Ila mwana, Ruto lazima ashinde hapa