Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Anatoaje kibanzi kwa majirani wakate kwake kuna bonge na boriti?

Kwani ni wapi iliandikwa kuwa ni marufuku M7 kuongoza miaka chungu mzima.
Hizo nchi unazotaja umesahau kuwa hata hiyo Kenya ni failed state?
 
Hehehehe now huitaji tena Mombasa mbele ya Dar bali ni Dar vs East Africa and Central Africa, na ndiyo nilitaka uone kwamba Dar ili uiweze inabidi ulete Africa Mashariki na Kati, asante kwa ku prove nilichokiwaza so next time uwe na adabu kwa Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnapoteza muda wenu kumuelewesha kichaa anaejifanya anajua Tanzania kupitia mitandao.
 
Anatoaje kibanzi kwa majirani wakate kwake kuna bonge na boriti?

Kwani ni wapi iliandikwa kuwa ni marufuku M7 kuongoza miaka chungu mzima.
Hizo nchi unazotaja umesahau kuwa hata hiyo Kenya ni failed state?
Yani kwa mtazamo wako huu siwezi kujadili nawe hii mada,hatutafuti ushindi hapa
 
Tayari ATCL imepokonya abiria wa KQ wanaoenda routes za ATCL.
 
Don't take it personal.

Huo upungufu wa chakula ndio ufanye tulishwe madudu yasiyo na nutrients sahihi? Au unapenda tunapopata magonjwa ya ajabu ajabu ili sekta ya afya iwe na uhakika wa ajira?
Anataka watu waanze kuishi kwa kunywa midawa kila siku kama wenzetu wafanyavyo, mimi hata matumizi ya mbolea za kisasa siyapendi basi tu,
Wazungu hawawezi kukwambia ubaya wa kitu ambacho wao wanatumia, watakusifu tu,

Tule GMO baadae wauze viagra kwa wingi.
 
We cannot trouble ourselves to compete with a company that owns 3 planes that will be insane. Tafuta kingine tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…